Baada ya kushuhudia uhalifu wa Hamza na Ole Sabaya CCM ni lazima iwahakiki wanachama wake ili kuondoa magugu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,612
141,432
CCM ni chama kinachoheshimika sana Afrika na duniani kote.

CCM ndio kimezaa vyama vyote vya siasa nchini.

Tabia za kihalifu zilizoonyeshwa na baadhi ya wanachama wake wakiwemo Hamza na Ole sabaya ni lazima zikemewe vikali.

Ikiwezekana wanachama wote wa CCM wahakikiwe upya na wale kiapo cha kutii imani ya chama kama ilivyokuwa ikifanyika wakati wa mfumo wa chama kimoja.

Maendeleo hayana vyama!
 
Naomba kuuliza aliyeanzisha hii mada ni mtu anayejitegemea au bado nyumbani kwa wazazi???
 
Mtabaki wangapi? Mana wote ni mamoja mnafanana. Hapa Sabaya,kule Hamza,pale Daudi,mara huyu anawaambia wananchi waende Burundi vuluvulu. Nyie mshafika mwisho ni basi sasa hivi mnatembelea ushauri wa Bashiru wa kutumia dola in continuing clinging on power as your only way to survive.
 
CCM ni chama kinachoheshimika sana Afrika na duniani kote.

CCM ndio kimezaa vyama vyote vya siasa nchini.

Tabia za kihalifu zilizoonyeshwa na baadhi ya wanachama wake wakiwemo Hamza na Ole sabaya ni lazima zikemewe vikali.

Ikiwezekana wanachama wote wa CCM wahakikiwe upya na wale kiapo cha kutii imani ya chama kama ilivyokuwa ikifanyika wakati wa mfumo wa chama kimoja.

Maendeleo hayana vyama!
Mzee mgaya
 
Subiri wanakuja kukanusha kwamba sio wanachama wao. CCM ni zaidi ya kituko sasa hivi.
 
Uhalifu hauna chama.
Yohana Mbatizaji, naona umeanza kuwapa maelekezo Chama Cha Mapinduzi. Kwamba nini wafanye na nini wanatakiwa kufanya. Elewa mipaka yako. Jitambue.
 
CCM ni chama kinachoheshimika sana Afrika na duniani kote.

CCM ndio kimezaa vyama vyote vya siasa nchini.

Tabia za kihalifu zilizoonyeshwa na baadhi ya wanachama wake wakiwemo Hamza na Ole sabaya ni lazima zikemewe vikali.

Ikiwezekana wanachama wote wa CCM wahakikiwe upya na wale kiapo cha kutii imani ya chama kama ilivyokuwa ikifanyika wakati wa mfumo wa chama kimoja.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe upo kamili, au utakutwa kama mojawapo ya gugu?
 
CCM ni chama kinachoheshimika sana Afrika na duniani kote.

CCM ndio kimezaa vyama vyote vya siasa nchini.

Tabia za kihalifu zilizoonyeshwa na baadhi ya wanachama wake wakiwemo Hamza na Ole sabaya ni lazima zikemewe vikali.

Ikiwezekana wanachama wote wa CCM wahakikiwe upya na wale kiapo cha kutii imani ya chama kama ilivyokuwa ikifanyika wakati wa mfumo wa chama kimoja.

Maendeleo hayana vyama!
Kuna mmoja yule mwarabu alikamatwa na silaha kibao kule shinyanga. Tena alikuwa mbunge sijui alipewa adabu gani?
Mmebaki kusingizia watu ugaidi (anzia kwa rwakatare mpaka mbowe)
Bila policcm na Tiss hata kitongoji hampati nyie
 
Back
Top Bottom