Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,029
- 61,930
Nami nawaza hivyo hivyo, inawezekana ata kwa huyu mtoto baba akawa mwingine.Hapo kuna financial security tu inatafutwa baada ya waliomuahidi maisha mazuri kuingia mitini. Cheza kwa akili, don't be a savior wa makosa ya watu wengine.
Hujatuelezea alikufanya nini,alikusaliti au?Kuna mpenzi wangu mmoja nilimpenda sana, kuliko yeye alivyonipenda mimi.
Upendo ukawa unaongezeka zaidi, pale ninapokuwa nampa vijisenti.
Baada ya kuona anatumia visalio vyangu vingi, nami nikawa namkomoa kwenye shoo, nikawa nampa shoo kali.
Iliyopelekea, akawa ananikwepa kwepa pale ninapokuwa namuhitaji.
Baada ya muda akawa amebeba ujauzito, ingawa simuamini sana kama yule mtoto ni wa kwangu, ingawa yeye anasema ni wa kwangu.
Mahusiano yetu yakawa ni ya migogoro hasa pale ninaposhindwa kumtumia visalio. Na nilikuwa nafanya makusudi ili niweze kupima upendo wa kweli.
Baada ya muda kupita, kila mmoja akaendelea na maisha yake; ingawa mara moja moja tulikuwa tunawasiliana pale ambapo hasira zinakuwa zimeisha.
Hivi karibuni, alipata ajali iliyopelekea kuvunjika mguu, na kusababisha tembea yake kuwa ya kuchechemea.
Tangu ajali itokee mpaka leo hii, imepita kama miezi sita hivi; sasa leo amenipigia simu na kulalamika watu aliokuwa akiwaamini wamemtelekeza na wamepunguza ukaribu naye.
Kwa hiyo anaomba tusameheane kwa yale yote yaliyotokea, na maisha yasonge mbele; Pia nijiandae mwakani mtoto aweze kwenda shule.
Hapa nilipo natafakari, baadaya kuona anachechemea na watu kutokuwa karibu naye, ndio ameona umuhimu wangu?
Wakuu, ebu nishaurini.
Mkuu, mwanamke akishajua mtoto ni wako, hatokuwa na sababu ya kukwepa vipimo. Kama una shaka hata ya 1%, usithubutu kuinvest kwenye hiyo ada mwakani bila majibu ya daktari mkononi.Nami nawaza hivyo hivyo, inawezekana ata kwa huyu mtoto baba akawa mwingine.
Nini kifanyikeKuna mtu anendaa kupigwa muda si mrefu..
Narudia tena kuna mtu anaenda kupigwa muda c mrefu…
Alikuwa ni mtu wa starehe sana, usipompa salio mapenzi yanapunguaHujatuelezea alikufanya nini,alikusaliti au?
Me sijui kwanini wanaume mnaumiaga kwenye kuhudumiaAlikuwa ni mtu wa starehe sana, usipompa salio mapenzi yanapungua
Uko sahihiMkuu, mwanamke akishajua mtoto ni wako, hatokuwa na sababu ya kukwepa vipimo. Kama una shaka hata ya 1%, usithubutu kuinvest kwenye hiyo ada mwakani bila majibu ya daktari mkononi.
Sijatoa mahari mkuuKamsemee kwa babaake
I guess hakuwa na zaidi ya miaka 30 na alikuwa na tako..Wadada wa aina niliyotaja hapo wanakuwaga huwaambii kitu katika peak yao wengi huwa na majuto mbeleniAlikuwa ni mtu wa starehe sana, usipompa salio mapenzi yanapungua
Wengi tunapenda upendo wa kweli kwanza, ili mengine yaweze kufanyika; ukitumia salio sana kama nyenzo ya kupata upendo, ipo siku salio litaisha na upendo utatoweka.Wewe ulitaka amuombe nani visalio
Mrudie Huyo binti...
Unahudumia sehemu iliyo sahihi, mfano mtoto si wako, unahudumia ili upate nini?Me sijui kwanini wanaume mnaumiaga kwenye kuhudumia
Ukimpa visalio points zinaongezeka...Wengi tunapenda upendo wa kweli kwanza, ili mengine yaweze kufanyika; ukitumia salio sana kama nyenzo ya kupata upendo, ipo siku salio litaisha na upendo utatoweka.
Uko sahihi, alafu amepanda hewani, akigeuka huku na kule miluzi ni mingiI guess hakuwa na zaidi ya miaka 30 na alikuwa na tako..Wadada wa aina niliyotaja hapo wanakuwaga huwaambii kitu katika peak yao wengi huwa na majuto mbeleni
Visalio vilivyopotea, nitavipataje sasa baada ya kuniacha?Ukimpa visalio points zinaongezeka...
Zikipungua akakuacha basi hakuwa wako wa kudumu!!!!
kama unawezaa kumlipia gharama za matibabu ,akaacha kutembea kwa ``kuchechemea fanya halafuKuna mpenzi wangu mmoja nilimpenda sana, kuliko yeye alivyonipenda mimi.