Baada ya kupata ajira amkimbia mumewe

Baada ya kupata ajira amkimbia mumewe

Mwambie afatilie talaka yake mapema kabisa
 
Watanzania bhana eti wazungu wenyewe wanaachana. Kwa hiyo kama wanaachana? Kwani wazungu ndio waanzilishi wa ndoa???

Wazungu ndio waliotuletea dini zinasomea mmekuwa mwili mmoja mpaka kifo kiwatenganishe, ila wao ndio wanaongoza kwa kuachana
 
Daaah hawa wanawake bana, wakiwa na akili shida wakiwa vilaza shida
 
......inawezekana huyo dada alikuwa anavumilia ndoa isiyokuwa na amani sababu hana kipato.

Sasa ana kipato chake na ataweza kujihudumia mwenyewe na mtoto wake, sasa ndoa ndoano ya nini tena? Tusilaumu tu kakimbia mume, kumbe kakimbia matizo ya ndoa.
 
Kipindi cha nyuma nilikuwa nnahisi ni stori tu, ila hivi sasa baada ya kushuhudia nimeamini.

Kuna kesi kama 3 hivi, ambapo, wanaume amemsomesha mpenzi wake, kuanzia form five mpaka chuo (diploma), na alipo pata kazi tu, mapenzi yakaisha.
 
......inawezekana huyo dada alikuwa anavumilia ndoa isiyokuwa na amani sababu hana kipato.

Sasa ana kipato chake na ataweza kujihudumia mwenyewe na mtoto wake, sasa ndoa ndoano ya nini tena? Tusilaumu tu kakimbia mume, kumbe kakimbia matizo ya ndoa.
Kwanza inaonekana wewe alichofanya mwanamke mwenzio unaunga mkono`pili kama wewe uko kwenye ndoa ni kwa sababu huna kipato siku ukipata kipato jamaa utamkimbia au utamwambia muachane`
Tatu unasema ndoa haina amani kwani suluhu ya matatizo ni kukimbia au kuttafuta ufumbuzi“
Nne`wewe uko mbali sana na mapenzi kama uko kariakooo mapenzi yako tegeta•
Tano kama umeolewa namsikitikia jamaa kaoa mtu asie na really love•
Sita kama una boyfriend akikustukia tabia yako ndo hiyo atakupa kadi nyekundu
Saba kama ningekua nakujua ningefanya kila njia nikugonge then nikuache ningetoa hata milioni ili nikupate tu then nakuacha tena na pete ningekuvalisha halafu nasepa•
 
......inawezekana huyo dada alikuwa anavumilia ndoa isiyokuwa na amani sababu hana kipato.

Sasa ana kipato chake na ataweza kujihudumia mwenyewe na mtoto wake, sasa ndoa ndoano ya nini tena? Tusilaumu tu kakimbia mume, kumbe kakimbia matizo ya ndoa.
Kwanza wanaume tukome kabisa kusomesha wanawake kama hajasoma kutoka kwao bora akae hivohivo maana mmezidi mnakwapua haf mbio
 
Loh mie niliombwa baada ya wikimbili ya ndoa niorodheshe nilichonacho nkauliza we tume yajaji lubuva aka jaji,,,,, aisee wiki inayofwata akaanza kueudi SAA saba nkachukua likizo nkamwomba arudi ash nikiwa Jnb nilipprudi nkaaga nakumwachia certificate of acceptance
 
Inawezekana huyo dada wala hata hana mwanaume ila amekimbia manyannyaso unaweza somesha mtu lakinin unampiga maneno ya kashfa sasa atakuvumilia kwa kuwa ana ahida akipata kipato anaweza kukumbia na wanawake wa sasa hawajalelewa kuwa wavumilivu so wanaume wa kizazi hiki mjue mna dili na specie nyingine ya wanawake mawazo yale ya zamani mwanammke ni mvumilivu mtiifu na mwaminifu yaliisha
 
1.UPUMBAVU
2.UMASKINI
3.USHAMBA/ULIMBUKEN
4.LAANA
hizo ndio sababu za mtu kutokuwa muaminifu...ila ninachokiamini malipo ni hapa hapa kwa dunia na aliyetenda baya hulipwa kwa kiwango kile kile ila huwa anapewa taratibu na umakini ili kimuingie vizur na wengi huwa ni watu wa sizitaki mbichiz hizi,.,
 
Sio wadada wote jaman.ni kuwa tu makini maisha hayafanani kila mtu na maisha yake ingawa hili ni fundisho pia
 
Msilaumu sana wanaume tumekuwatukikimbilia wanawakewenyepesa nqhayq ndio madharayake nawanawake wenyepesa wengi wanakimbilia kuolewa kutoa gundu awataolewa so akiolewa okesho ana iuweso wa kukuachamaqtaa jpili muwemakinisanasana
 
Hii imemtokea mwenzetu hapa ofisini kwetu na tunae jamaa alifunga Ndoa na mkewe miaka mitano iliyopita na wakabahatika kupata mtoto wa kiume ambae walikua wanamsomesha Shule fulani ya watakatifu pale Kibaha.

Kwa kuwa mke wa jamaa alikua pass mark zake si nzuri jamaa akajipinda wife akarisiti na kufanikiwa kupata divisheni ya vijana ndipo jamaa akaamua kumpeleka chuo fulani baada ya kumaliza mke wa jamaa akapangiwa ajira mkoa uleee yalikozaliwa mapenzi na mitaa yake mingi inafahamika kwa Barabara ya kwanza hadi 22 kwa sasa.

Jamaa walivyokubaliana na mkewe kwamba afanye mishemishe ya kumrejesha hapa Dar na mipango yote tayari ili wife arudi kupiga kazi Dar es salaam cha ajabu mke kamhamisha mtoto shule anayosoma na kaenda nae huko TA na kwmwambia jamaa wewe na mimi basi oa mke mwingine na usinijue kuanzia leo na huna mtoto ma mimi.

Walifunga ndoa ya kanisani ambayo baadhi ya watu kwa ujinga wanafikiri hawaachani wakati wazungu wenyewe wanaachana taarifa hizo kaletewa Mwaka huu 2015
Tumeshauri jamaa yetu tulia jenga maisha na utapata mke mwingine walausimfuatilie uila tunza meseji zote alizokutumia.

Hayo ndo mambo ya wanawake wa sasa maisha sasa kila mtu anamlia timing mwenzie ukizubaa imekula upande wako wewe mwanamume mwenzangu.Kina dada hawa ambao ni wake zetu acha kabisa kuwaaamini`kama mke ndo amefanya hivyo nani mwingine umuamini`aliesema mke si nduguyo ni kweli kabisa.

Tatizo ni ulimbukeni na ushamba umezidi!!!!!
 
Hiyo ndio tunaita marriage for convenience.... Mwanamke anakubali kuolewa kwa sababu ya maisha magumu... Akifanikiwa ndio anaondoka hivyo
 
nimekupenda kwa dhati, ukakubali na kunionesha mapenzi feki mpaka nikaingia gharama kukusomesha, mwsho wa siku haunitaki na mtoto si wangu? hcho ktendo ni kudhulum furaha ya nafsi yangu, roho yangu ina kisasi kischokoma, hakika nitalipa kisasi, nitakuondolea kila kitu kiletacho furaha maishani mwako mpaka utaomba umauti!
 
Back
Top Bottom