asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Aiseeeeh hatari kabisa.
ahahaha ndio tanga kunani ukija leo hutatamani kuondoka
ahahaha ndio tanga kunani ukija leo hutatamani kuondoka
weeeee usiniambie.....!!
Ndiyo maana Mimi nasita kuja huko msije mkani bakiza huko nikasahau kwetu loooo!
**** sana hawa viumbe sijawah kuwaamin na sintokuja kuwaamini milele ni kula mzigo unaluka front
ndoa ndoanoooooo. lakini pia inawezekana bidada kuna vitu ambavyo havikumpendeza kwa mumewe ndio maana akaona bora akasome ili ajishie mwenyewe. wakati mwingine kumsomesha mtu sio sababu ya kumlaumu sanaaa au kuona ndio amekosea sana, yeye ashukuru anakazi hivo mwanae atakuwa na uhakiki wa matunzo. mengine wanajua wenyewe, sababu hizo wanazosema ni zile zinazoelezeka ila kiini huwa hata mchungaji aliyefungisha ndoa haambiwi.
hahahahaaa! afu akamroga sasa, mana wale mwanamke ukiwa na vijipesa kidogo tu mwanaume akuendea kwa babu! doooohhSi afadhali wa Raskazone uyo kapata wa mwahako kajipatia jidume la kidigo shughuli hana kapagawa na mauno ya mdigo.
Kumbee mamafacebook ni wa tanga`hatari sana nyie wadada wa tanganilienda tanga siku moja tulipikiwa maharage matamu sijala tena maharage kama yaleahahaha ndio tanga kunani ukija leo hutatamani kuondoka
Kumbee mamafacebook ni wa tanga`hatari sana nyie wadada wa tanganilienda tanga siku moja tulipikiwa maharage matamu sijala tena maharage kama yale
Yaani yalikolea nazi ikawa kama sukari vile we acha tu never forgetbarabara ya 21
Hii imemtokea mwenzetu hapa ofisini kwetu na tunae jamaa alifunga Ndoa na mkewe miaka mitano iliyopita na wakabahatika kupata mtoto wa kiume ambae walikua wanamsomesha Shule fulani ya watakatifu pale Kibaha.
Kwa kuwa mke wa jamaa alikua pass mark zake si nzuri jamaa akajipinda wife akarisiti na kufanikiwa kupata divisheni ya vijana ndipo jamaa akaamua kumpeleka chuo fulani baada ya kumaliza mke wa jamaa akapangiwa ajira mkoa uleee yalikozaliwa mapenzi na mitaa yake mingi inafahamika kwa Barabara ya kwanza hadi 22 kwa sasa.
Jamaa walivyokubaliana na mkewe kwamba afanye mishemishe ya kumrejesha hapa Dar na mipango yote tayari ili wife arudi kupiga kazi Dar es salaam cha ajabu mke kamhamisha mtoto shule anayosoma na kaenda nae huko TA na kwmwambia jamaa wewe na mimi basi oa mke mwingine na usinijue kuanzia leo na huna mtoto ma mimi.
Walifunga ndoa ya kanisani ambayo baadhi ya watu kwa ujinga wanafikiri hawaachani wakati wazungu wenyewe wanaachana taarifa hizo kaletewa Mwaka huu 2015
Tumeshauri jamaa yetu tulia jenga maisha na utapata mke mwingine walausimfuatilie uila tunza meseji zote alizokutumia.
Hayo ndo mambo ya wanawake wa sasa maisha sasa kila mtu anamlia timing mwenzie ukizubaa imekula upande wako wewe mwanamume mwenzangu.Kina dada hawa ambao ni wake zetu acha kabisa kuwaaamini`kama mke ndo amefanya hivyo nani mwingine umuamini`aliesema mke si nduguyo ni kweli kabisa.
Huyu msichana kenge sana, hapa ndo anapo haribu nafasi ya wanawake wachache wanaojua mahusiano na thamani ya ndoa.
Inaonyesha binti hakumpenda mshikaji tangu mwanzo, ila alipenda zake.
Mwambie mshkaji afatilie damu yake.
akapime na DNA,,, mwanamke atakukataa ila wanao lazima atakuforce uchangie.... but kwa maneno ya huna mtoto na mimi...... nna hofu hapo...