Baada ya kupata ajira amkimbia mumewe

Baada ya kupata ajira amkimbia mumewe

Acha ujinga na unafiki wa kuleta habari nusu nusu hapa ili tu utake kujiaminisha unachotaka kuamini! m
Watu wawili wakiachana ni lazima kua sababu, na sababu inaweza kuwa yoyote ile siyo kila Mtu lazima akwambie sababu ya yeye kumwacha mwenziwe!

Wanawake ni watu wazuri sana, na mimi ktk Maisha yangu nimekutana na Wanawake wenye roho nzuri sana na wengine kujitoa kwa ajili yangu pasipo mimi kurudisha wema wao na bado hawakunitupa na hata leo hii nikikwama bado hunichukuwa pmj na kuwa sikuwarudishia mema waliyonitendea!
Mjinga ni wewe`halafu unajiita great thinker kwanza unatakiwa uulize sio kudakia tu na kutukana watu usiowajua“kama wamekutendea mema kuna wenzako wametendewa mabaya kwa hiyo jifunze kuheshim thread za watu•hii habari mwenyewe karidhia niitoe ili wengine wajifunze na muhusika tuko nae ofisi moja wewe una kimuhemuhe cha nini`kisa umetendewa mema nahisi umelishwa limbwata wewe kwa kuwa man mwenye akili zake timamu hawezi andika kama ulivyoandika wewe`nahisi ndio nyie mnawakana ndugu zenu kwa ajili ya wanawake zenu`kumbuka mla nawe hafi nawe bali mzaliwa nawe•wanafiki ni wewe baba yako mama yako na nduguzo wote•
 
unamtetea mwanamke mwenzako
Hapana sijamtete, ndoa zina mambo mengi sana yaliyojificha, sasa shida watu waposhindwana watu wengi huangalia upande mmoja na hutumia sababu za juu juu hukumu. sababu wanazoachania watu ni nyingi sana na zimejificha lakini watu hupenda kusikia labda mmoja alichepuka hapo ndio watu huona sababu ya msingi. jamani hizi ndoa ziacheni. kuna ndoa watu wanaishi kwa mateso kuliko hata mateso ya JEHANAMU.
 
Huyu msichana hataki kabisa ukarib wala mawasiliano, na inawezekan hiyo statement kaitoa ili kutimiza lengo lake. Huyu binti kama mtoto asingekuwa wake angalisema, ila alichosema ni sahau kuwa umezaa na mimi, this means that amezaa nae.

inawezekana kabisa..... ila kujiridhisha ni muhimu, na kama hayuko tayari mwanae kulelewa na mlume mwingine je!!!kuna kitu kimejicha hapo....!!!!!
 
Hapana sijamtete, ndoa zina mambo mengi sana yaliyojificha, sasa shida watu waposhindwana watu wengi huangalia upande mmoja na hutumia sababu za juu juu hukumu. sababu wanazoachania watu ni nyingi sana na zimejificha lakini watu hupenda kusikia labda mmoja alichepuka hapo ndio watu huona sababu ya msingi. jamani hizi ndoa ziacheni. kuna ndoa watu wanaishi kwa mateso kuliko hata mateso ya JEHANAMU.

na kwanini uishi kwa mateso,,,, akili zako ndio furaha yako.....
 
Acha ujinga na unafiki wa kuleta habari nusu nusu hapa ili tu utake kujiaminisha unachotaka kuamini!
Watu wawili wakiachana ni lazima kuna sababu, na sababu inaweza kuwa yoyote ile siyo kila Mtu lazima akwambie sababu ya yeye kumwacha mwenziwe!

Wanawake ni watu wazuri sana, na mimi ktk Maisha yangu nimekutana na Wanawake wenye roho nzuri sana na wengine kujitoa kwa ajili yangu pasipo mimi kurudisha wema wao na bado hawakunitupa na hata leo hii nikikwama bado hunichukuwa pmj na kuwa sikuwarudishia mema waliyonitendea!

Tatizo wengi wanachangia bado hawajui yaliyopo kwenye ndoa, jamani hizi ndoa kuna watu wanaishi kwa mateso kama wapo jehanamu, si wanaume wala wanawake wote chamoto wanakiona, ndoa zimeficha mambo mengi, ndoa zimebeba mambo mengi sana, wanao achana wanaachana kwa mengi ila yanaelezwa ni yale yasio na ukakasi masikioni. ndoa!

shikamoooooooooooo! ndoa
 
inawezekana kabisa..... ila kujiridhisha ni muhimu, na kama hayuko tayari mwanae kulelewa na mlume mwingine je!!!kuna kitu kimejicha hapo....!!!!!

Exactly, but ingekuwe wew ungechukua actions gani, after kugundua kuwa mtoto si wako na umemlea kumtunza kwa hali zote?
 
On my side brother..... ningemshukuru Mungu kuyafunua yote, ninacho jua alama yangu haitopotea kwa yule mtoto,,, na wala sinto mtenga kwa lolote....ni malaika huyo.....akiwa mkubwa akajikausha poa pia....
 
Tatizo wengi wanachangia bado hawajui yaliyopo kwenye ndoa, jamani hizi ndoa kuna watu wanaishi kwa mateso kama wapo jehanamu, si wanaume wala wanawake wote chamoto wanakiona, ndoa zimeficha mambo mengi, ndoa zimebeba mambo mengi sana, wanao achana wanaachana kwa mengi ila yanaelezwa ni yale yasio na ukakasi masikioni. ndoa!

shikamoooooooooooo! ndoa

Marahaba bibie..... ndoa ni maisha ya upenuni .......tutajuta....
 
Watanzania bhana eti wazungu wenyewe wanaachana. Kwa hiyo kama wanaachana? Kwani wazungu ndio waanzilishi wa ndoa???
 
Hii imemtokea mwenzetu hapa ofisini kwetu na tunae jamaa alifunga Ndoa na mkewe miaka mitano iliyopita na wakabahatika kupata mtoto wa kiume ambae walikua wanamsomesha Shule fulani ya watakatifu pale Kibaha.

Kwa kuwa mke wa jamaa alikua pass mark zake si nzuri jamaa akajipinda wife akarisiti na kufanikiwa kupata divisheni ya vijana ndipo jamaa akaamua kumpeleka chuo fulani baada ya kumaliza mke wa jamaa akapangiwa ajira mkoa uleee yalikozaliwa mapenzi na mitaa yake mingi inafahamika kwa Barabara ya kwanza hadi 22 kwa sasa.

Jamaa walivyokubaliana na mkewe kwamba afanye mishemishe ya kumrejesha hapa Dar na mipango yote tayari ili wife arudi kupiga kazi Dar es salaam cha ajabu mke kamhamisha mtoto shule anayosoma na kaenda nae huko TA na kwmwambia jamaa wewe na mimi basi oa mke mwingine na usinijue kuanzia leo na huna mtoto ma mimi.

Walifunga ndoa ya kanisani ambayo baadhi ya watu kwa ujinga wanafikiri hawaachani wakati wazungu wenyewe wanaachana taarifa hizo kaletewa Mwaka huu 2015
Tumeshauri jamaa yetu tulia jenga maisha na utapata mke mwingine walausimfuatilie uila tunza meseji zote alizokutumia.

Hayo ndo mambo ya wanawake wa sasa maisha sasa kila mtu anamlia timing mwenzie ukizubaa imekula upande wako wewe mwanamume mwenzangu.Kina dada hawa ambao ni wake zetu acha kabisa kuwaaamini`kama mke ndo amefanya hivyo nani mwingine umuamini`aliesema mke si nduguyo ni kweli kabisa.

Ndoa za siku hizi siyo kama za 60's. Watu wana haki ya chagua kukaa au kuondoka. Wakisepa usinune ni haki yao.
 
Acha ujinga na unafiki wa kuleta habari nusu nusu hapa ili tu utake kujiaminisha unachotaka kuamini!
Watu wawili wakiachana ni lazima kuna sababu, na sababu inaweza kuwa yoyote ile siyo kila Mtu lazima akwambie sababu ya yeye kumwacha mwenziwe!

Wanawake ni watu wazuri sana, na mimi ktk Maisha yangu nimekutana na Wanawake wenye roho nzuri sana na wengine kujitoa kwa ajili yangu pasipo mimi kurudisha wema wao na bado hawakunitupa na hata leo hii nikikwama bado hunichukuwa pmj na kuwa sikuwarudishia mema waliyonitendea!

kumbe na ww unauwezo wa kuwa na mwanamke? Nimeuona uzi wako mahali ukijitangaza kuwa unawavutia wanaume
 
Mjinga ni wewe`halafu unajiita great thinker kwanza unatakiwa uulize sio kudakia tu na kutukana watu usiowajua“kama wamekutendea mema kuna wenzako wametendewa mabaya kwa hiyo jifunze kuheshim thread za watu•hii habari mwenyewe karidhia niitoe ili wengine wajifunze na muhusika tuko nae ofisi moja wewe una kimuhemuhe cha nini`kisa umetendewa mema nahisi umelishwa limbwata wewe kwa kuwa man mwenye akili zake timamu hawezi andika kama ulivyoandika wewe`nahisi ndio nyie mnawakana ndugu zenu kwa ajili ya wanawake zenu`kumbuka mla nawe hafi nawe bali mzaliwa nawe•wanafiki ni wewe baba yako mama yako na nduguzo wote•

haina haja ya kutunisha mishipa na watu wenye matatizo. Pitiapitia uzi mbalimbali utaukuta uzi wake ndipo utajua huyu ni insane. Hyo chakula ya watu kaka
 
ndoa ndoanoooooo. lakini pia inawezekana bidada kuna vitu ambavyo havikumpendeza kwa mumewe ndio maana akaona bora akasome ili ajishie mwenyewe. wakati mwingine kumsomesha mtu sio sababu ya kumlaumu sanaaa au kuona ndio amekosea sana, yeye ashukuru anakazi hivo mwanae atakuwa na uhakiki wa matunzo. mengine wanajua wenyewe, sababu hizo wanazosema ni zile zinazoelezeka ila kiini huwa hata mchungaji aliyefungisha ndoa haambiwi.
....Tatizo tunasaidia watu tukitegemea return in burk,..ukitaka kuwa na amani saidia mtu kisha endelea na maisha yako..utakuwa na furaha maisha yako yote..coz usilazimishe mtu kama hakutaki...
 
na kwanini uishi kwa mateso,,,, akili zako ndio furaha yako.....

kwa kwel tuache utani, katika mitihani yote, mtihani jaman mtihani wa ndoa ni kiboko, ukiufaulu utaiona dunia yako, ila ukiufeli utaona dunia inakuangukia.
mim habari ya mateso ndio sitaki kuisika, habari mume badala ya kuwa rafiki anageuka baba, amri kwa kwenda mbele, hapana, tene hapana
 
na mke kuwa mwalimu, hata kupumua anakwambia toka nje,,,,, wakati nyumba ni yangu,,, badala ya kusema pole mzee....it smell sweet!!!!! hahahahahaaaaaaaaa...... ndoa zisikie tuuu.....
 
....Tatizo tunasaidia watu tukitegemea return in burk,..ukitaka kuwa na amani saidia mtu kisha endelea na maisha yako..utakuwa na furaha maisha yako yote..coz usilazimishe mtu kama hakutaki...

umenena vema, tena sisi wadada tunashida yaani mtu akikusaidia labda jambo kubwa,hatupumui, atataka umsujudie tuu hata ukimwambia "ndugu tuishie hapa" ndio kama umewasha moto atakuganda na kukutangaza kila mtu atajua. bora mtu akupe hela ununue BATOOK utafune, utamu ukiisha unatema kuleeeeeeee.
 
Halafu ndoa cheti unapewa kabla ya kuufanya mtihani nadhani ingetakiwa mtu akae angalau miaka 3 ndo aPewe cheti cha ndoa
 
na mke kuwa mwalimu, hata kupumua anakwambia toka nje,,,,, wakati nyumba ni yangu,,, badala ya kusema pole mzee....it smell sweet!!!!! hahahahahaaaaaaaaa...... ndoa zisikie tuuu.....

Heeeeeeeeeeeeee! makubwa haya tena nosspass umemanisha mke mjuaji?
 
umenena vema, tena sisi wadada tunashida yaani mtu akikusaidia labda jambo kubwa,hatupumui, atataka umsujudie tuu hata ukimwambia "ndugu tuishie hapa" ndio kama umewasha moto atakuganda na kukutangaza kila mtu atajua. bora mtu akupe hela ununue BATOOK utafune, utamu ukiisha unatema kuleeeeeeee.
..Kama wadada nimesaidia wengi,..wengi wao wamefika chuo kikuu lakini akiniambia time is out nakubaliana nae kiroho safi,..huwa naamini ntampata mdada mwingine aliyesomeshwa pia..always am happy and life is going on....
 
Back
Top Bottom