kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,490
- 1,363
shikamoooooooooooo! ndoa[/QUOTE]
....Marhabaaa hujambo toto njuri?!..............
....Marhabaaa hujambo toto njuri?!..............
Heeeeeeeeeeeeee! makubwa haya tena nosspass umemanisha mke mjuaji?
Huyu msichana kenge sana, hapa ndo anapo haribu nafasi ya wanawake wachache wanaojua mahusiano na thamani ya ndoa.
Inaonyesha binti hakumpenda mshikaji tangu mwanzo, ila alipenda zake.
Mwambie mshkaji afatilie damu yake.
wajanja wa raskazoni washamuwahi.....
Mkuu kama kamwambia wasijuane isije ikawa na mtoto alibambikiwa sio wake.
ndoa ndoanoooooo. lakini pia inawezekana bidada kuna vitu ambavyo havikumpendeza kwa mumewe ndio maana akaona bora akasome ili ajishie mwenyewe. wakati mwingine kumsomesha mtu sio sababu ya kumlaumu sanaaa au kuona ndio amekosea sana, yeye ashukuru anakazi hivo mwanae atakuwa na uhakiki wa matunzo. mengine wanajua wenyewe, sababu hizo wanazosema ni zile zinazoelezeka ila kiini huwa hata mchungaji aliyefungisha ndoa haambiwi.
by Bonge the one said:Cha ajabu mke kamhamisha mtoto shule anayosoma na kaenda nae hukooooo TA na kwmwambia jamaa wewe na mimi basi oa mke mwingine na usinijue kuanzia leo na huna mtoto ma mimi6¦1
TANGA stand UP.!! asee kule bwana kama una akili za kushikiwa utasahau kila kitu.. kapata mwinyi wa Tanga kapelekwa forodhani.. deep sea kwenye samaki wa ukweli.. kanyweshwa juisi ya nazi, kapelekwa br ya 5 chips maini,, kazungushwa mji mzima hadi kamsahau mumewe.. huyo ndo kashazama huko kuibuka ni vigumu... Tanga Raha waja leo wakaa milele..lol
Tunachojua n kumkaribisha mgeni kumwambia kwa her hatujui
Tatizo la ndoa ni kwamba mnakutana watu wawili tofauti, mliokulia mazingira tofauti, lifestyle tofauti, ideologies tofauti etc. kwahyo usitegemee mtakuwa sawa hata kidogo. Ni lazima kila mmoja aamue ku-give up something he/she used to do, just for the sake of love. Mmoja anapojifanya yupo RIGHT kuliko mwenzake, hapo ndipo matatizo hutokea. Ila kiukweli, tho I'm married, I must admit that maisha ya ndoa ni magumu sana.
Sent from my iPad using JamiiForums app
Daniel mwinula said:Kuchepuka ni ishu mojawapo ya kupelekea kuachana. But ikumbukwe pia kuchepuka kunasababishwa na vingi sana, too many to mention.
Apologise lady said:kwa kwel tuache utani, katika mitihani yote, mtihani jaman mtihani wa ndoa ni kiboko, ukiufaulu utaiona dunia yako, ila ukiufeli utaona dunia inakuangukia.
mim habari ya mateso ndio sitaki kuisika, habari mume badala ya kuwa rafiki anageuka baba, amri kwa kwenda mbele, hapana, tene hapana
haswaaa... katika miaka yote niliyoishi tanga sijawahi kuona wala kusikia mtu anataka kuhama tanga kirahisi rahisi tu..mwenyewe imebidi tu ila roho inaniuma kuondoka huko... nitarudi huko kuoa
Huyu msichana kenge sana, hapa ndo anapo haribu nafasi ya wanawake wachache wanaojua mahusiano na thamani ya ndoa.
Inaonyesha binti hakumpenda mshikaji tangu mwanzo, ila alipenda zake.
Mwambie mshkaji afatilie damu yake.[/QUOTE]
Je akafuatilia hiyo damu na akagundua siyo yake atafanyaje?
Ushauri wangu ni huu, atulie kabisa,acha kupiga simu wala kuandika meseji,wala kulia lia,songa mbela, kama mtoto ni wake atarudi tu siku ikifika, unaweza fuatilia mtoto na ukaambiwa maneno magumu sana na huyo mdada. La mwisho, Mungu yupo, ili akutendee mema, basi usitendee dhambi. Shukuru kwa kuwa ametendewa akiwa na nguvu na akili. Mbona utapata mdada mwingine mzuri wa tabia kuliko huyo.
....Marhabaaa hujambo toto njuri?!..............[/QUOTE]shikamoooooooooooo! ndoa