belie
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 387
- 261
Hamna cha raskazoni huyo kaangukia usagara mabangi
hahahahha
Hamna cha raskazoni huyo kaangukia usagara mabangi
Kwanza inaonekana wewe alichofanya mwanamke mwenzio unaunga mkono`pili kama wewe uko kwenye ndoa ni kwa sababu huna kipato siku ukipata kipato jamaa utamkimbia au utamwambia muachane`
Tatu unasema ndoa haina amani kwani suluhu ya matatizo ni kukimbia au kuttafuta ufumbuzi
Nne`wewe uko mbali sana na mapenzi kama uko kariakooo mapenzi yako tegeta
Tano kama umeolewa namsikitikia jamaa kaoa mtu asie na really love
Sita kama una boyfriend akikustukia tabia yako ndo hiyo atakupa kadi nyekundu
Saba kama ningekua nakujua ningefanya kila njia nikugonge then nikuache ningetoa hata milioni ili nikupate tu then nakuacha tena na pete ningekuvalisha halafu nasepa