Baada ya kuona hamna nafuu, Manji aamsha popo

Shindwa pepo la Mekoooooo Tokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, liendelee kumtafuna huko kuzimu shindwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa meko , Raksghabarabarashararraraaararararaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa , shindwa MeKO
Angalia huyu kichaa unapenda maponjoro...
watakuwa wanakudunkula tu ww.....
sio bure kwa kuonyesha hii love yako
 
Alisema lini acha uongo
Tafuta kwenye mitandao hotuba zake nahisi labda ni kwenye ile hotuba aliyo sema yeye na magufuli ni kitu kimoja ila alisema wawekezaji wanataka kuondoka kwa sababu magufuli kafariki
 
Aaah Kwa uchumi upi au makusanyo yepi hali Wawekezaji na matajiri walihamishia kodi zao nchi jirani,hadi leo tumecollaps wameishia kuwapora wananchi masikini kupitia dabo tozo za dhuluma,means ziwa limekauka.
Tatizo wewe ni mpumbaavu kwani tanzania ilipo tangazwa na dunia kuingia kwenye uchumi wa kati wewe ulijua kwa uchumi upi
 
Kwa mambo aliyoyafanya huyu jamaa na wanayoendelea kuyafanya wenzie wanaojiita wahindi au waarabu wenye asili ya Tanzania ni bora waende tu..

Ule uamuzi wa Iddi Amin kufukuza wahindi Uganda ulikuwa sahihi sana, kuendelea kuishi na jamii yenye ubinafsi na kandamizi kwa wengine ni bora kuwa masikini na kutafuta namna nyingine ya kujinasua kuliko kuendelea kuishi na hizi jamaa...

Acha ubaguzi mkuu, Choyo na CHuki sio kitu kizuri, utaishia kuwa mwanga
 
Back
Top Bottom