Baada ya kuoa, maisha yaliendeleaje mwanangu?

Inaoneka hawajakulia kwenye familia kuyajua haya ambayo ni obvious
 
Inamaana hujakullia kwenye familia mpka kutolijua hilo?
Huo ni uchoyo msisingizie ugeni wa ndoa.. 😹😹😹
Kutoka kwenye ubachela, kujihudumia mwenyewe, ukitoka kazini unapita sehemu unakula na imeisha, hadi kununua groceries na kuacha matumizi kila siku.
Issue sio kukulia kwenye familia, hapa ni mazoea ya kuishi mwenyewe.
 
Sio ajabu hata kidogo, na sababu kubwa ni yale mabadiliko ni ya ghafla japo tuliyajua kabla.
Gradually watu wanaelewa na kuyaishi majukumu yao.
Yah kabisa, ni changes ya haraka sana, ila ustahimilivu wa kuishi pamoja utakuwepo endapo tu mtu ata adapt hiyo hali.

Mtu akiwa mgumu ku-adapt, mwanamke lazima agundue na hapo ndo mwanzo wa ndoa kuvunjika
 
Inaoneka hawajakulia kwenye familia kuyajua haya ambayo ni obvious
Wanaokwepa hili jukumu la kufanya spending wanaishia kuoa wanawake wenye kazi zao, wakidhani kwamba watasaidiana maisha, kumbe ndo wanaenda kujimaliza kabisa.

Ukioa mwanamke mwenye kazi tayari, usitegemee expenditure zako zitapungua, bali uzoefu unaonesha, expenditure ndo zitaongezeka maradufu
 
K[].M@ UTAICHOKA....KWA MWANAUME UTAIONA YA KAWAIDA TUUU UTATAMANI URUDI ENZI YA NYETO LIFEπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†..... MKEO UTAMWONA KAMA DADA YAKO TUU.....

LIKEWISE KULE KWINGINE 😎😎😎😎😎😎
 
Mim inshu ya chakula sikuiwazia,changamoto ilikuwa ni kumnunulia nguo tena karibia kila mara na sio mara moja au mara mbili kwa mwaka
 
Mim inshu ya chakula sikuiwazia,changamoto ilikuwa ni kumnunulia nguo tena karibia kila mara na sio mara moja au mara mbili kwa mwaka
Dah yanaumiza sana aisee ,mimi nguo sikumbuki kama niliwahi kununua aliamua kujiongeza kuwa anajinunulia maana ,ugovi mkubwa kati yetu baada ya kuzoeana ni mshahara wake uwekwe mezani na mimi niuonje lakini wapi .

Ni hapo akajua hata nguo siwezi kununua .
Ila kwasasa nimestaarabika nikioa tena nitamuhudumia nimeshakubalu mwanamme hana thamani tu ,sasa nifanyeje kaka
 
Nilkuja kugundua mwanaume ni punda nilipoona bibi wa miaka 50+ anamsubir mume wake ambae nae choka mbaya eti ampe hela ya kushonea nguo

Nikajisemea moyoni kwamba kumbe hawa watu tutawahudumia mpaka kufa
 
Kaka wewe acha tu .
Vipi bado uko na mwanamke ndani ?
Mimi alishaondoka ila naishi kwa raha sana ,nakula chakula pekee yangu ,nguo najinunulia mimi ila zaidi nikienda bar naweza nirudi au nisirudi na hakuna wa kuniuliza zaidi ya kuwaonea huruma mbwa wangu kulala bila kula ,vipi wewe ?
 
Sio ajabu hata kidogo, na sababu kubwa ni yale mabadiliko ni ya ghafla japo tuliyajua kabla.
Gradually watu wanaelewa na kuyaishi majukumu yao.
Ya ghafla kama mke umeamka ukamkuta ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…