Baada ya kunyimwa msosi msibani...

Baada ya kunyimwa msosi msibani...

ha ha ha atakua anaomba afiwe ili awakomeshe waliomnyima msosi lol!!!
 
duhhhh,,iyo noma sana,,yaani mbavu sina,jamaa anaomba kufiwa?
 
uyo lazma atakua nape udogoni hahaaaaaaaaaa...
 
wengi wangewaza kulipiza kisasi lakini kosa lake ni kutamka mawazo yake
 
Back
Top Bottom