Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Washamba hao sisi wengine hatupendi kufikiri sana bigup
Halafu hawajui, mimi ni mwandishi wa habari za mastar sio mtunga udaku.

Habari zangu zina ukweli kwa kiasi kikubwa, sio za kuokota okota, ndio maana najiamini naandika waziwazi.

Wahusika ambao nimewahi kuandika habari zao hapa huwa napewa taarifa zao wanavyohaha nimezipataje? 🤣🤣
 
Wanasema huwezi kumtambua kwa kumtazama ama kwa mavazi yake kujua kama ameokoka, ila juzi kinguo alichovaa Mlimani City hakioneshi kuwa ameokoka.

It's like alikuwa anawinda hela za wastaafu 🏃‍♂️🏃‍♂️
Kuokoka itakuwa ni Jingle ya kuitangaza na kuuzia hiyo filam
 
Hawezi, yule mtoto wa kishua kabisa.

Foundation sidhani, huyu ni mvivu hanaga muendelezo wa mambo yake. Kila anachoanzisha hakidumu hata miezi kinakufa.
Halafu kweli,ila km akiamua aje na foundation ya kitu fulani akafanya fundraising huyu binti ana watu anaeza kufanya mamilioni ya hela
 
Halafu ukiona wanatangaza hadi kanisa ujue ni biashara hiyo
Hiyo biashara anaiweza sana Gigy Money, alitangaza vizuri na watu wakamjua nabii Malisa kupitia hilo tangazo.

Sasa basi baada ya tangazo kufaulu Gigy Money alirudi Misri kuendelea na utumwa wake akapiga video ya ngono akinyanduliwa ilhali hana mume wala mchumba 😂

Kweli hizi ni biashara rasmi kabisa.
 
Wanaenda sana dear huko majumba ya Ibada ni show off
Nowadays Wana msemo wao wanasema Kuna Mungu na mganga,Kuna msanii kaimba kamsifia mganga wake kabisa ktk nyimbo "kamng'aze"Kuna mmoja Yuko pale mwananyamala Kwa mama Zakaria bondeni kidogo, mwingine Mbagala kichemchem
Dada nimestaafu umbea
Byeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom