Baada ya kuniumiza, amerudi anataka turudiane

Baada ya kuniumiza, amerudi anataka turudiane

Baby moma

Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
39
Reaction score
38
Niliwahi leta thread hapa kuhusiana na experience yangu ya kuwa baby mama.
Ofcourse niliumia sana kwa yaliyo tokea,ila sikuwa na budi kumove on.Doctor wangu alinisaidia sana kisaikolojia,Mungu ambariki.

Sikuwahi mnyima kuja mwona mwanaye kila alipojisikia.Na still simnyimi kumwona mwanaye kwani ni damu yake.Baada ya muda kupita na counselling za kutosha,nilifanikiwa mwondoa moyoni na mawazoni mwangu.Doctor wangu alinisaidia kuyaona maisha katika mwanga mpana,hadi kupelekea kuja kumkubali mwanaume mwingine aliye kuwa ananipenda kabla hata sijapatwa na mkasa wa kuwa baby mama.Jamaa alinipenda na still ananipenda sana,na ndio niko naye sasa kimapenzi.

Anampenda sana mwanangu na wametokea kuelewana sana tumekuwa tukispend week ends pamoja kama family.Tumesafiri sehemu mbalimbali pamoja na mwanangu kama Zanzibar, Mombasa na Dubai.

Tatizo ni kama mwezi baba wa mtoto wangu ameanza kurudi kwa kasi kwangu,akitaka turudiane tuanzishe family na mwanetu.Anadai hataki mwanae alelewe na mwanaume mwingine.

Nimechunguza nikagundua yule mwanamke alokwenda mtambulisha kwao wameachana,sababu hasa sizijui.Namshangaa kurudi na kutaka kuniharibia furaha yangu niliyoipata baada ya kuumia sana.

Wanaume kuweni na msimamo,msipende haribu furaha za wanawake.Ni kweli nilimpenda sana ila aliniumiza sana,sasa kwanini anione nimerudi kwenye furaha yangu atake kuiharibu.Huyu niliye naye kwa sasa nampenda sana na sina mpango wa kuachana naye.Mwanao atabaki kuwa mwanao,live with it man.
 
Rudi ndo utajua kumbe mdamwingine mapenzi ni vita kali sana
 
Yaani ukirudii tuuu eheeee hayo maumivu yakee,.tutakuzika na kukusahau achana nae kabisa!!!!!
 
Mavi ya kale hayanuki. weye rudi tuu ukayarambe matapishi. Kama kwao keshampeleka mwingine, weye atakupeleka kwenyu au wapi??
Mambo mengine ni pasua kichwa tu
 
Achana nae ikiwezekana mwambie r x mpya ili amkalipie one day ataacha
 
nzuri ya kusoma
http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
Back
Top Bottom