Uchaguzi 2020 Baada ya kumsikiliza Tundu Lissu akiwa kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo, nimejiridhisha ni mgombea dhaifu zaidi awamu hii

Yote yanawezekana chini ya jua
Kwa imani, na imani bila Matendo imekufa. Lissu atuoneshe imani yake bila Matendo , na Magufuli atuonyeshe imani yale na Matendo halafu tukutane baada ya October.
 
Mnajificha kwenye kivuli cha "Amefanya mengi" ila tutawanyoosha maana hamjajua bado mlipo
Ukifanya jambo na kusifiwa na kila MTU jua kabisa umekosea ila ukifanya jambo ukakosolewa jua your on the right track
 
Eti kuna watu bado wanajipa moyo Lissu atashinda labda akitaka kushinda mi nimshauri asubiri 2025 ajaribu bahati yake.....

Kwasababu kwa mambo aliyoyafanya Magufuli ni ngumu kweli kumshawishi mtu ampigie kura Lissu

#Iam Zagarino
Mambo gani??? Kufungia na kuzipiga faini Media zinazompa airtime Lissu????

Kuharibu uchumi na kutengeneza majobless???
Kupiga risasi watu, kuteka na kubambikia watu makesi???
 
Eti kuna watu bado wanajipa moyo Lissu atashinda labda akitaka kushinda mi nimshauri asubiri 2025 ajaribu bahati yake.....

Kwasababu kwa mambo aliyoyafanya Magufuli ni ngumu kweli kumshawishi mtu ampigie kura Lissu

#Iam Zagarino
Mmeanza kuruka na kukanyagana.
#NI YEYE
 
Amefanya mengi,
Hayana idadi,
Itoshe kusema ni mengi.

Utafikiri unawaelezea watoto wa chekechea.
 
Eti kuna watu bado wanajipa moyo Lissu atashinda labda akitaka kushinda mi nimshauri asubiri 2025 ajaribu bahati yake.....

Kwasababu kwa mambo aliyoyafanya Magufuli ni ngumu kweli kumshawishi mtu ampigie kura Lissu

#Iam Zagarino
Kwami 1995, 2005, 2010,2015 Maalim hakushinda? Je alishawahi kuwa raisi? Nawaza tu.
 
Ukifanya jambo na kusifiwa na kila MTU jua kabisa umekosea ila ukifanya jambo ukakosolewa jua your on the right track
Sasa mbana mnalazimisha kusifiwa hadi mnafikia hatua ya kupoteza watu na wengine hata kuwapiga risasi kwa lengo la KUWAUA?
 
Eti kuna watu bado wanajipa moyo Lissu atashinda labda akitaka kushinda mi nimshauri asubiri 2025 ajaribu bahati yake.....

Kwasababu kwa mambo aliyoyafanya Magufuli ni ngumu kweli kumshawishi mtu ampigie kura Lissu

#Iam Zagarino
Kumpa tena Magu nchi hii kwa miaka mitano zaidi ni uasi kwa nchi hii.Najua wanaccm wengi akili hawana na wanaangalia leo tu Ila Kama mmeshindwa kuona kuwa huyu mtu hatufai basi I am sorry for you.Huyunapaswa kuondolea at any cost hata Kama ni kumwaga damu za watu
 
I concur with you. At any cost CCM must go!!
 
Huku nilko tena kwa wasukuma wameanza kumkubali Tundu Lissu,maana wakulima wapo hoi kimaisha na wafanyabiashara wanalia
 
Eti kuna watu bado wanajipa moyo Lissu atashinda labda akitaka kushinda mi nimshauri asubiri 2025 ajaribu bahati yake.

Kwasababu kwa mambo aliyoyafanya Magufuli ni ngumu kweli kumshawishi mtu ampigie kura Lissu

#Iam Zagarino
Mbona wajinga wanazidi kuwa wengi JF? Hali hii sasa mpaka inauzi.
 
Issue sio kushinda au kushindwa, ni nafasi bora kueleza mambo ambayo baadhi ya watu yanawakera, uenda kipindi chote ajaelezwa, au hayajui, na pengine anajiona yuko at right track kumbe sio, kura zitakazo mkataa ni kielelezo cha jinsi watu wasivyo ridhika!
 
Mbona wajinga wanazidi kuwa wengi JF? Hali hii sasa mpaka inauzi.
Ili waelewa watawale dunia hii lazima wajinga wawepo bana na ndio maana wenye uelewa dunia hii watabaki kuwa wachache coz wabishi ndo wamegeuka wenye uelewa kwa wingi wa maneno wasemayo...
Ila waelewa hukaa kimya pale ubishi unapotawala na kubaki na maarifa yao
 
Back
Top Bottom