Baada ya kumkataa mtoto eti sasa tuonane

Baada ya kumkataa mtoto eti sasa tuonane

Jamaa anataka apime DNA ya mtoto,akishajua ndio atakupa support ,dunia ya sasa dna muhimu sana hata kwa walio ktk ndoa, lazima uone viashiria vyote,binadamu by nature hawako genuine.
2. ukikataa kuonana naye inakula kwako utasota na mtoto akishakuwa anaenda kwa daddy wake every weekend, so wewe unasota jamaa atakula good time bila kuwajibika na malezi
 
Mpeleke mtoto kwa baba yake...
Hata kama nyie mmeshindwana...usimtumie mtoto kama bakora...

Hapa kila mtu atakushauri aki reflect situation yake...
Wanasahau kuwa kila tatizo ni la kipekee...

Miezi 6 tu unasusa...na huwezi jua alianza lini kukusanya nguvu ya kukuface kukwambia kuwa amebadili mawazo anataka mtoto wake...

Yes hana sifa ya kuwa mwenza wako wa maisha...maana angekupenda asingekataa mimba...ila kukataa mimba si kukataa mwana...wanaume wengi tu wamezaa na wanawake ambao kila mtu ameshika hamsini zake...lakini hawakatai kuwa mtoto ni wao; sasa wewe kwa nini unataka kumtumia mtoto kama fimbo...
 
Back
Top Bottom