Ha ha ha aseme mtoto ni wa mzee juma,usikute kishakuwa jogoo la kuchora sasa ndo kakumbuka kuna mahali alidonate sperm!!!!Mwambie akafie mbele huko tena mwambie mtoto si wako nlipitiwa tu kuhesabu tarehe nliyopata mimba
Hebu itikia wito kataa neno
Huyu bwana alinipa mimba na aka mkataa mtoto wake.Amenikatia sana simu kila nilipo mtafuta na mengine mengi mengi nisiwachoshe kwa kuwasimulia.Muda wa miezi kadhaa sasa umepita toka katoto kazaliwe na yeye akatae nimesha zoea maisha yangu napambana kumlea mwanangu peke yangu as a single mom na msaada pia kutoka kwa ndugu.Sasa baba wa mtoto kanitafuta ananiambia tuonane akirudi kwa sasa yupo safari.Naomba mnipe mawazo je akirudi nimskilize anasemaje au niachane naye kama alivyo nitendea yeye kipindi chote cha ujauzito mbaka nilivyojifungua.Nakumbuka wakati namwambia mtoto tayari alicho nijibu ni i don't want it and I have nothing to do with it
Hawa wadada wewe unawaamini Sana eeeh!! Tafuta kuwafahamu vizuri, hadi jamaa kukataa huwezi jua. Kuna wadada ni hatari tena moto. Nimesikia kabisa mdada akisema " mimba sio yake lakini sins jinsi, hamna wa kunisaidia kulea". Hawa watu waone tu hivi.
Hahahaa
Leo kaka angu umetulia...Ushauri murua!
Huyu bwana alinipa mimba na aka mkataa mtoto wake.Amenikatia sana simu kila nilipo mtafuta na mengine mengi mengi nisiwachoshe kwa kuwasimulia.Muda wa miezi kadhaa sasa umepita toka katoto kazaliwe na yeye akatae nimesha zoea maisha yangu napambana kumlea mwanangu peke yangu as a single mom na msaada pia kutoka kwa ndugu.Sasa baba wa mtoto kanitafuta ananiambia tuonane akirudi kwa sasa yupo safari.Naomba mnipe mawazo je akirudi nimskilize anasemaje au niachane naye kama alivyo nitendea yeye kipindi chote cha ujauzito mbaka nilivyojifungua.Nakumbuka wakati namwambia mtoto tayari alicho nijibu ni i don't want it and I have nothing to do with it
Ha ha ha aseme mtoto ni wa mzee juma,usikute kishakuwa jogoo la kuchora sasa ndo kakumbuka kuna mahali alidonate sperm!!!!
Mwambie akafie mbele huko tena mwambie mtoto si wako nlipitiwa tu kuhesabu tarehe nliyopata mimba
mmmmmh! Lakn damu ya mtu haipotei, atakataa sasa hvi na atalea mwenyew lakn mtoto akikua atakuja kumbana mamaake amuoneshe baba yake.
Hata kama yeye atakataa lakn walimwengu wapo.