Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,626
Mmh usiende aisee na simu usimpokelee
Akienda gheto tu ataliwa
Mmh usiende aisee na simu usimpokelee
Wengine huwa wanaroga lol
tena ubaya wa hao watoto wa kukataliwa wanakuwa copyright na baba zao.
wanaume wengi san uoga wa maisha unawasumbia japo tamaa mbele mauti nyuma. msililize tu maana inawezekana amaejifikiria na kuona ameacha gold nyuma akikimbilia mawe
Hakuna mwanaume anayetelekeza mtoto bila sababu ya maudhi au mashaka ya kubambikiwa kutoka kwa Mwanamke,tunawajua sana wanawake wa sasa wakoje,hatukatai wako waume wenye shida lakini kwa % kubwa husababishwa na wanawake wenyewe
Na wewe ni lazima mmoja wao. Kamchukue huyo mtoto ulio mkataa.
Yote hayo usingeliyapata kama ungelifunga ndoa na kupata mtoto/watoto ndoani...
Kwa kawaida sisi wanadamu tunapoasi (tunapotenda dhambi) huwa tunafungulia mlango wa mambo mengine mabaya kuambatana nasi...
Na matokeo ya uasi wowote huwa ni adhabu, wewe mleta mada umeadhibiwa kwa jamaa kuukana mzigo wake bila shaka naye jamaa kuna adhabu kaipata huko alipokuwa...
Huu ni wakati wa kurekebisha kosa nambari moja ambalo nyote mlishirikiana kufanya...
Unapokataa mwanao asimjue babaye maana yake unajilazimu kushiriki kosa nambari mbili ambalo jamaa yako alilianzisha nalo ni mtoto wenu kuishi katika hali ya kukataliwa...
Ni wewe mwenye ufunguo wa ama mwanao aishi akimtambua mtu anayemuita baba au lah...
Siku zote kurudia kosa si kosa bali ni kuimarisha zaidi kosa...
Huyu bwana alinipa mimba na aka mkataa mtoto wake.Amenikatia sana simu kila nilipo mtafuta na mengine mengi mengi nisiwachoshe kwa kuwasimulia.Muda wa miezi kadhaa sasa umepita toka katoto kazaliwe na yeye akatae nimesha zoea maisha yangu napambana kumlea mwanangu peke yangu as a single mom na msaada pia kutoka kwa ndugu.Sasa baba wa mtoto kanitafuta ananiambia tuonane akirudi kwa sasa yupo safari.Naomba mnipe mawazo je akirudi nimskilize anasemaje au niachane naye kama alivyo nitendea yeye kipindi chote cha ujauzito mbaka nilivyojifungua.Nakumbuka wakati namwambia mtoto tayari alicho nijibu ni i don't want it and I have nothing to do with it
Teh teh umemsahau baba lao
Mmachame moja.duh
yupi huyo??
Halafu mtu mwenyew mbishi kama kama bata mchanga.
Kila nikikuambia nipe unabana muone hips
Aiseee hebu chunga hizo kauli zakoo....zina utata mimi na wewe huwa tunaombana nini
haa! Ww vp kwan hujui? Inamaana ntawezaje kuikana mimba yako bila kuiomba njia ya kupitishia mimba?