SMan down man down we need backup do you copy?
We need backupI can't hear you ssirr..YOU SAY????
S
Nimemis sana hii mamboMan down man down we need backup do you copy?
Yeye kashaachwa ajitahidi kusahau inawezekana alipiga show chini ya kiwangonimecheka
Mkuu em to ushauri .
OverWe need backup
Keep moving
Over
We do copy Sir!Man down man down we need backup do you copy?
Ni kweli mkuu Kuna mahali amefelisha masai🤣🤣🤣Yeye kashaachwa ajitahidi kusahau inawezekana alipiga show chini ya kiwango
Inauma sana kuachwa, wakati mwingine tuwe tunafanya risk assessment mapema ili kujua hatari iliyoko mbele na kuweza kujiepusha nayo.
Ukidate na mwanamke mashauzi hakikisha unamuacha mapema kabla hajakuacha
Itakua mdada alitaka kujua kama yaliyomo yamo akakuta ndivyo sivyo, akarudi njia kuu.Unahisi umepata nini??
Inawezekana yeye kawa kwako disappointed na sex ..Hilo tu..
Otherwise kapime uishi Kwa uhuru
Azingatie Sana huu ushauriAchana naye usijepe stress as long as mlikutana once huna haja ya kuendelea kujipa stress na baada ya miezi mitatu kapime ngoma.
By the way huenda alivyofikiri uko sivyo alivyokuta ulivyo.