Baada ya kujua mshahara wa Rais, Mtujuze sasa mshahara wa mwenyekiti wa CHADEMA

Magufuli anataja tu mshahara bila kuweka allowances kibao hasa akiwa nje ya Dar anazopata!Mshahara si kitu bali net pay yake inajumuisha marupurupu makubwa yanayofanya mshahara wake uwe mnono!

Huyu net pay haipungui 30M

hivi net ya 30 m hata kama anapata kwangu nikidogo sana.Kwa sababu ceo tu wa ka ngo anakula hizo kwa mwezi. Ukweli ni kwamba mapato ya Rais hata kama ni 30 M kwa mwezi basi ni hatari kwa usalama wa nchi kwani ni rahisi kuhongwa billions of money na akasaini mikataba ya ovyo
 
Huu ustaharabu wa kutaja mishahara ya watu hadhalani naona una ukakasi kidogo, Mh. Rais kwa mamlaka aliyonayo angeweza kushugulika na mambo haya kimyakimya bila ya kuutangazia umma. Hili jambo linaondoa heshma ya watendaji Wa taasisi kwa jamii inayowazunguka pia inahatarisha usalama wao, 'imagine' jilani zako wachovu wanasikia unapata 15 million hizi za Magufuli, usalama wako na familia yako unakuwaje? Please viongozi don't politicise everything, nchi inawahitaji sana wataalam wake, Tafadhali handle them with care & respect
Sasa unalaumu nini
Wakati hao wanao jiita watetezi wa Watanzania ndio walilia kutajwa kwa mshahara wa Rais

Acha itajwe maana kuna watu wanaitafuna nchi tujue
 
Sio kweli,ni nani aliamua mkurugenzi wa NHC alipwe mil 36 huku Rais akilipwa mil 9?i thought the highest office in Tz ni ya urais!Huu usanii sasa basi!Watz wamekuwa watu wa kuamini amini kauli za wanasiasa hata kama hazina uhalisia!
Kuna wataalam kibao USA wakiwepo watz wanalipwa zaidi ya Obama!

Mfano USA Surgen General au Pentagon Four Star Generals au US Chief Justice

Rais sio professional!
 
hivi net ya 30 m hata kama anapata kwangu nikidogo sana.Kwa sababu ceo tu wa ka ngo anakula hizo kwa mwezi. Ukweli ni kwamba mapato ya Rais hata kama ni 30 M kwa mwezi basi ni hatari kwa usalama wa nchi kwani ni rahisi kuhongwa billions of money na akasaini mikataba ya ovyo
Hehehe ujue nifisadi huyo
 
Rais ataje package yake sio kuwaambia watz mshahara tu ambao kwa kada yyt ile huwa ni mdogo sana!

Mbunge mshahara wake ni 2.5 Milion tu lkn anapata zaidi ya 11M kwa mwezi ukiweka na marupu rupu yake!
 
Mh Mbowe ni mtu anayekadiriwa kumiliki utajiri halali unaokadiriwa kufikia Tril 1.2 , hana njaa na ni kati ya matajiri wa ajabu sana wa kiafrica , yeye badala ya kutumia utajiri wake kupora mali za nchi kama wafanyavyo matajiri wengine wa kiafrica , ameamua kupigania ukombozi na uhuru wa nchi yetu , Mungu amzidishie .
 
Rais ataje package yake sio kuwaambia watz mshahara tu ambao kwa kada yyt ile huwa ni mdogo sana!

Mbunge mshahara wake ni 2.5 Milion tu lkn anapata zaidi ya 11M kwa mwezi ukiweka na marupu rupu yake!
Hao kina MBOWE waliomba mshahara kujua
Sasa umejulikana mnaanza kuleta vijistory vingine

Tajeni nanyie wambowe
 
Hao kina MBOWE waliomba mshahara kujua
Sasa umejulikana mnaanza kuleta vijistory vingine

Tajeni nanyie wambowe
Package ya Rais Magufuli ukiweka na allowances zote ni ngapi?Hata sisi kazini mshahara ni mdogo sana lkn kinacho tuokoa wengi ni allowances!

Anachotakiwa Magufuli ataje net pay yake ukiweka na marupurupu ni ngapi?Huyu zinafika hadi 30M+ sababu hakatwi PAYE!
 
Mh Mbowe ni mtu anayekadiriwa kumiliki utajiri halali unaokadiriwa kufikia Tril 1.2 , hana njaa na ni kati ya matajiri wa anabu sana wa kiafrica , yeye badala ya kutumia utajiri wake kupora mali za nchi kama wafanyavyo matajiri wengine wa kiafrica , ameamua kupigania ukombozi na uhuru wa nchi yetu , Mungu amzidishie .
Unachangia Damu na MBOWE wewe!!
Tunataka kujua mshahara wake wa uenyekiti pale CDM anajilipa sh. Ngapi?
Hizo ngonjera sio muhimu
 
Package ya Rais Magufuli ukiweka na allowances zote ni ngapi?Hata sisi kazini mshahara ni mdogo sana lkn kinacho tuokoa wengi ni allowances!

Anachotakiwa Magufuli ataje net pay yake ukiweka na marupurupu ni ngapi?Huyu zinafika hadi 30M+ sababu hakatwi PAYE!
Watu wameshangilia huko kufunguliwa pazia tuu kisha kujitoa ufahamu kuwa mlangoni bado kuna kufuli kubwa limening'inia
 
Watu wameshangilia huko kufunguliwa pazia tuu kisha kujitoa ufahamu kuwa mlangoni bado kuna kufuli kubwa limening'inia
Mkuu wengi hapa ni mashabiki tu na likely hawajui malipo ya serikali yakoje,tunaojua tunamshangaa sana Rais kwa kupotosha!

Rais aseme anapata bei gani ktk total package sio mshahara tu!Akitaja hapa watu wote watamshangaa iweje socialist Magufuli alipwe vyema hivyo!
 
Package ya Rais Magufuli ukiweka na allowances zote ni ngapi?Hata sisi kazini mshahara ni mdogo sana lkn kinacho tuokoa wengi ni allowances!

Anachotakiwa Magufuli ataje net pay yake ukiweka na marupurupu ni ngapi?Huyu zinafika hadi 30M+ sababu hakatwi PAYE!
Sawa lakini
Hikiunacho kiuliza sicho kilicho ulizwa

Walitaka kujua mshahara wake tu ni sh.ngapi!?

Nasi tunataka kujua ktk Ruzuku kutoka serikalini
MBOWE anajilipa sh. Ngapi kama mshahara
Pia ufipa kama pango ni sh.ngapi maana fedha niya umma
 
Mbowe ana utajiri wake wa halali, mshahara wake hautokani na kodi ya wananchi, tutajie mshahara wa mwenyekiti wa ccm, na katibu wake.
 
Hapo Nyuma kulikuwa na Kelele kuhusu mshahara wa Rais.

Watu waligeuza kama ndio hoja ya kuwatoa kimasomaso
Sasa Jana Rais kavunja mzizi wa fitna na kutuambia anapokea kiasi cha sh. Ml 9.

Niwakati wa Mbowe naye kutuambia hadharani
Kiasi anacho (jilipa )maana yeye ndie mlipaji
Ni shilingi ngapi kwa mwezi?

Pia kwakuwa niwakati wa uwazi na Mabadiliko ya ukweli
Atuambie pia malipo ya Makao makuu ya CDM pale ufipa iwe ni kwa mwaka au kwa mwezi ni shilingi ngapi

Ndugu, usichanganye haya mambo, Rais wa Tanzania ni Mh. magufuli, na ndiye aliyezungumzia mishahara y wafanyakazi wake, sasa hapo Mh. mbowe anaingiaje? Hii siyo siasa...tafuta lingine uesme tukujibu.
 
Unachangia Damu na MBOWE wewe!!
Tunataka kujua mshahara wake wa uenyekiti pale CDM anajilipa sh. Ngapi?
Hizo ngonjera sio muhimu
yeye ndio anailipa cdm maarifa na mbinu zake za kisasa na pia anawalipia hata masikini kama wewe kupitia ukombozi anaougharamia kwa pesa , jasho na damu.
 
Back
Top Bottom