Baada ya kujua mshahara wa Rais, Mtujuze sasa mshahara wa mwenyekiti wa CHADEMA

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
27,778
30,748
Hapo Nyuma kulikuwa na Kelele kuhusu mshahara wa Rais.

Watu waligeuza kama ndio hoja ya kuwatoa kimasomaso
Sasa Jana Rais kavunja mzizi wa fitna na kutuambia anapokea kiasi cha sh. Ml 9.

Niwakati wa Mbowe naye kutuambia hadharani
Kiasi anacho (jilipa )maana yeye ndie mlipaji
Ni shilingi ngapi kwa mwezi?

Pia kwakuwa niwakati wa uwazi na Mabadiliko ya ukweli
Atuambie pia malipo ya Makao makuu ya CDM pale ufipa iwe ni kwa mwaka au kwa mwezi ni shilingi ngapi
 
ukichukua mshahara wa uwenyekiti+ubunge+kub=88m, hapo hujaweka posho za vikao, washa, makongamano... na 10%, ni makadrio tu ila yaweza kuwa +o-,

ufipa ni watu wa dill,
 
Ina maana jk,mkapa Na Mzee ruksa wana pata 80% ya 9.5 million ambayo Ni 7.6 million !kama huu ndio ukweli lazima waandae mazingira mazuri kabla ya kustafu hapo kiwira ,kagoda haziwezi ishaaa!
 
Hapo Nyuma kulikuwa na Kelele kuhusu mshahara wa Rais.

Watu waligeuza kama ndio hoja ya kuwatoa kimasomaso
Sasa Jana Rais kavunja mzizi wa fitna na kutuambia anapokea kiasi cha sh. Ml 9.

Niwakati wa Mbowe naye kutuambia hadharani
Kiasi anacho (jilipa )maana yeye ndie mlipaji
Ni shilingi ngapi kwa mwezi?

Pia kwakuwa niwakati wa uwazi na Mabadiliko ya ukweli
Atuambie pia malipo ya Makao makuu ya CDM pale ufipa iwe ni kwa mwaka au kwa mwezi ni shilingi ngapi
kweli bana..hebu mbowe atuambie analipwa bei gani. halafu huyu zitto naye aseme maana ndio kimbelembele kuuliza mishahara ya wenzake.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ujinga wa kimataifa,Magufuli ameshajua kuwa akili za watanzania ni ndoooogo sana ndo maana anawachezea sphere,eti mshahara million 9,ACHENI upumbavu wa kutuigizia,fanyeni kazi nchi iendelee tuwasifie sio maigizo ya kututajia mishahara ya uongo
Ujinga unao wewe
Yeye kasema mshahara wake
Na kutoa usibitisho hapo baadae
Sasa kama wewe unajua sio sema
 
Back
Top Bottom