Kwa kinachotokea CHAN impact itakuja kuonekana hadi LigiLigi ikianza, ng'ombe mtajazana uwanjani kama kawaida
Kum e unajua ata magoli ya mama🤣🤣🤣🤣Magoli ya mama yote yamerudi siku moja 😹😹😹
Hapana, simba na Yanga imewapumbaza watu kupitiliza, watajaa vzr tuu.Kwa kinachotokea CHAN impact itakuja kuonekana hadi Ligi
Kwahy kuangalia kibanda umiza unakuwa umewakomoa hao simba?Simba wajifunze kupitia hiki kinachowakuta Yanga
Wakileta ujinga wao si wengine tutaishia kuangalia mechi kwenye banda umiza tu
Michango bado inaendelea, ukisikia simba wamechangia utakuja kufuta h comment yako.Nmeichukia Sana yanga, inatumika Sana Bora simba