Baada ya kugundua, utamwacha?

Hapo inategemea maana kuna past zngne znatisha ukizckia hadi mwili unaccmka aisee...
 
kwani hizo past zinakuathiri vipi?

impact gani kwenye mahusiano na maisha?
unajua mkuu kila mtu ana uhuru wa kuish maisha ambayo aliyaplan...so pengne kunaweza kuwa na past ambazo hukuwah fikiria kama utakua na somebody alieptia maisha kama hayo..................
 
Kama hana magonjwa na anapenda mfanye maisha ya nn kuhangaikia ya nyuma?
 
kwa hiyo ungekua bwana harusi wa yule dada mwenye simu ya halotel picha simesambaa akifanywa kinyume cha maumbile usingemwacha?
Huyu anaongea tu hayajamfika, mi demu nikijua alifanya usenge kabla lazma nimuache tu haswa kama alishaliwa jicho, abortion ama ana mtoto bila kuniambia.
 
Huyu anaongea tu hayajamfika, mi demu nikijua alifanya usenge kabla lazma nimuache tu haswa kama alishaliwa jicho, abortion ama ana mtoto bila kuniambia.
Wengine sisi tigo tunazipenda kama alishaliwa tigo alishazaa alishapigwa Mande nikimpenda nimempenda nakula mzigo tu
 
Mimi binafsi naona kuna umuhimu wa kujua past. Kuna mengine si ya kuvumilia kisa upendo. Mfano binti alishaharibu kizazi kwa kuchoropoa mimba, halafu ndio niwe muhanga wa tatizo! Hapana, wakati mwingine lazima uvune ulichopanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…