Baada ya kufunga ndoa, ananikataza kutembelea JF

Yeye si umemtolea hapa JF, na wapili atakuwa si mbali na hapa JF.

Lazima mke wako atakuwa na wasi wasi...Mana kamchezo kakuolea hapa JF kanaweza kuendelea.
 
Kumbe humu ndani ni sawa na kwa jirani. Basi hebu tujitahidi tuone kama itazaa matunda
 
Back
Top Bottom