Baada ya kufunga ndoa, ananikataza kutembelea JF

kwani kabla ya ndoa yaani wakati wa uchumba alikuwa anakuruhusu au mlikuwa mkiwa wote ndo mna surf?
 
Hey i suppose you worked hard to earn a household,try hard make it safe especially during these early days.lol congrats and don`t destroy it with your bare hands.
 
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,
sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini..............naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...


Wadau Habarini,

Niwatakie heri ya mwaka mpya, imekuwa kitambo kidogo taingia nitangaze nia,
nikapata mchumba humu JF ambae tulifunga ndoa tarehe 15.10.2011; ndoa yetu ni ya furaha na kila mmoja anaamini ndo mwisho wake wa reli kama ilivyo, tatizo la mwenzangu tangu tumetoka honeymoon amekuwa hataki nitumie hata dakika moja kutembelea jamvi unless tuwe pamoja, sijajua tatizo ni nini ingawa nahisi tayari katumbo kamevimba:

wadau, nimejaribu kumuuliza tatizo ni nini,wivu au tu ndo mambo ya kike hayo!??


Salaam,

wana JF, miezi kama miwili hivi nilipost MMU tatizo la kukimbiwa na wapenzi kipindi cha kutambuana (dating) ilhali nikiwa sijaonja au kuonjeshwa penzi; baada ya kujipambanua kuwa sijawahi ku-du,
nilimpata mwana JF mwenzangu ambae tumeonjeshana vitu vitamu na sasa tuko bize na mipango ya ndoa, Harusi itakuwa tarehe 08/10/2011;

Nawashukuru wooooote na naomba niwaalike kwa namna ya pekee katika hafla hiyo, Mungu awabariki sana!



Sijui kwanini sikuamini na hizi post zako........................nahisi tu umetunga................sijui kwanini aisee
 
Hongera mkuu, na pongezi kwa JF kukusaidia kupata mke. Mwambie huyo mkeo kuwa kwa sasa, ukiingia jamvini unawasalimia tu rafiki zako walikosaidia kwenye harusi, na kubadilishana mawazo. Mwambie haulitumii tena jamvi kutafuta nyumba ndogo :lol:
 
Hongera sana,, kumpata umpendae ni popote. Ulichoandika hapa atakiona siku moja, hakikisha unafuata ushauri uliopewa.
 
Back
Top Bottom