Mnn nahic kam tupo pamoj mkuu,,,Mimi huwa nafurahia sana pale ninapokataliwa ila nakushangaa wewe unauechukia
Hahahaaaaa sometimes maisha hayahitaji complications za kijinga kama za kukataliwaMnn nahic kam tupo pamoj mkuu,,,
Mimi huwa sipendi kukubarika san
Natman ningepata nafasi yako nakuhakikishia ningeitendea haki iyo muvi balaa
Huo ni utoto na umama ukikua utaacha tusio kuchukia tu..nina stress kibao tu hapa nashindwa kufanya mambo yangu mengine
uko sahihi... zamani na mm nilikuwaga kama mtoa mada natongoza alaf nakaa naconvice na kusubiria jibu... [emoji3][emoji3]Mkuu haya maisha sio ya kuhangaika kutongoza kukicha.
Mwanamke kama unampenda na una malengo naye mazuri unaanzaje kumtongozaaa?
Hivi kutongoza ni kuuliza mpaka utuambie umepewa majibu mkuu?
Mtu ukimuambia nakupenda unakuwa umemuuliza ili akujibu au unakuwa umemuambia tuu?
Kama unakuwa umemuambia tuu basi kamwe usisubiri majibu mkuu kwa sababu kumuambia mtu jambo wala hakuhitajii majibu kutoka kwake haswa jambo hili,vinginevyo unataka ujibiwe lisilokuwa swali.
Mwanamke hatongozwi unawasiliana nae kihisia tu utajua anakutaka au hakutaki.
Ahahahhuko sahihi... zamani na mm nilikuwaga kama mtoa mada natongoza alaf nakaa naconvice na kusubiria jibu... [emoji3][emoji3]
Ila nikaja kubadilika, nachatt na mtu nasoma tu uelekeo wake kama haeleweki naachana naye!!
demu nimemfukuzia muda mrefu kweli lakini jibu alilonipa leo....! nilikuwa sijawah kukataliwa kumbe mapenzi yanaumiza sana jamani..kama mpo mliowahi kuumia kwa sababu ya mtoso nipeni maujanja mlifanyaje ili kurudi ktka hali ya kawaida?tafadhali tushayriane niko ktka mbaya sana maana nimeishiwa hadi nguvu nahisi kufakufa hivi...ni hayo tu wadau