Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,302
- 17,857
Basi pole sana mkuu huo ndio ukubwa wenyewesio kuchukia tu..nina stress kibao tu hapa nashindwa kufanya mambo yangu mengine
Basi pole sana mkuu huo ndio ukubwa wenyewesio kuchukia tu..nina stress kibao tu hapa nashindwa kufanya mambo yangu mengine
'Safuha ishawahi nitokea. Yaani mwanamke anadalili zote na unamfuata anakutolea nje.Ata sijui huwa wanawaza nini. Sometimes flirting sio powaMkuu haya maisha sio ya kuhangaika kutongoza kukicha.
Mwanamke kama unampenda na una malengo naye mazuri unaanzaje kumtongozaaa?
Hivi kutongoza ni kuuliza mpaka utuambie umepewa majibu mkuu?
Mtu ukimuambia nakupenda unakuwa umemuuliza ili akujibu au unakuwa umemuambia tuu?
Kama unakuwa umemuambia tuu basi kamwe usisubiri majibu mkuu kwa sababu unataka ujibiwe lisilokuwa swali.
Mwanamke hatongozwi unawasiliana nae kihisia tu utajua anakutaka au hakutaki.
Kitendo chakumfuata ndo hapo sasa.'Safuha ishawahi nitokea. Yaani mwanamke anadalili zote na unamfuata anakutolea nje.Ata sijui huwa wanawaza nini. Sometimes flirting sio powa
But milikuwa marafiki kabla [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kitendo chakumfuata ndo hapo sasa.
Mimi sijawahi kutongoA mwanamke mpaka hivi sasa nimeoa na mke wangu sikuwahi kumtongoza kabisa.
Kabla ya nini mkuu?But milikuwa marafiki kabla [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kabla ya mahusiano ya ukaribu!Kabla ya nini mkuu?
Ndoa au?
Hayo mahusiano ya karibu yalikuwa baada ya kwenda kumchumbia kwao.Kabla ya mahusiano ya ukaribu!
Huyo sijui vipi, mwenyewe napenda kupigwa chini maana madem naotongoza ni mapini mno kwenye 100 akinikubalia mmoja ndio lengo langu.Mimi huwa nafurahia sana pale ninapokataliwa ila nakushangaa wewe unauechukia
Mkuu haya maisha sio ya kuhangaika kutongoza kukicha.
Mwanamke kama unampenda na una malengo naye mazuri unaanzaje kumtongozaaa?
Hivi kutongoza ni kuuliza mpaka utuambie umepewa majibu mkuu?
Mtu ukimuambia nakupenda unakuwa umemuuliza ili akujibu au unakuwa umemuambia tuu?
Kama unakuwa umemuambia tuu basi kamwe usisubiri majibu mkuu kwa sababu unataka ujibiwe lisilokuwa swali.
Mwanamke hatongozwi unawasiliana nae kihisia tu utajua anakutaka au hakutaki.
Hobby yako ni nini Juliet huko kwa sasa. Tafuta katani kizuri soma, jiunge na timu ya mpira mtaani au sikiliza mziki.
Wakuu hamjalala tuMleta mada unasoma darasa la ngapi vile?
Tutalalaje wakati tunaishi kama mashetani.?Wakuu hamjalala tu
Mkuu wewe ni tajiri.Tutalalaje wakati tunaishi kama mashetani.?
DuuuuuuuhKunywa vitunguu saumu punje 36 na juice ya limao glass 12 kutwa mara 3 then upige juice ya ukwaju glass 9 kwa siku. Hiyo dosi ni ya miezi 3 tuu...Njoo ulete mrejesho hapa mkuu.