GEBA2013
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 6,266
- 9,243
Hana reason.watu wamepona kwakutumia majani ya mchunga walipona kabisaKwa nini ?unapokataa toa jibu
Hana reason.watu wamepona kwakutumia majani ya mchunga walipona kabisaKwa nini ?unapokataa toa jibu
Kidada kina sura nzuri yenye mvuti kama imewekwa mayonaize
Kama huna jibu potezea. Hivi kuna hospitali ndogo wanaofanya upasuajiwa tezi dume? Huo upasuaji kafanyiwa hospitali kubwa. Hapa kauliza uashauri na mwongozo na hapa kuna wataalamu dunia nzima wanaweza wakampa mwongozo sahihi. Hivi ulishawahi kwenda hizo hospitali unazoziita kubwa? Wengi wanaohudumia wagonjwa ni Wanafunzi wa inteinship . Wale wabobezi wanazunguka duniani kutoa semina na warcsha. Ila sasa kwenye malipo na dawa utaambiwa mfumo nenda pale nenda pala. Hii kesi ya tezi dume kujirudia nimesikia nyingi inahitaji mjadala wa kina kwa wataalamu wa afaya/ urologyPole mzee... Nenda hospital kubwa zaidi wakakufanyie uchunguzi wajue kwanin imerudi... Humu JF huwez pata jibu la maana
Acha upuuzi badala ya kujadili mambo ya maana unaleta utoto. Subiri uugue wewe utaibiwa ukiwa umevaa nguoSema nini Mzee huyo Daktari hapo kwenye picha anavyokusukumia huo mwichi sijaelewa alikua anamaanisha nini?
Upo serious unataka ushauri?Nashindwa kuelewa baada ya kusumbuliwa na tezi dume nikafanyiwa upasuaji mambo yakawa Safi.
Baada ya muda takribani mwaka imerudi tena nini chanzo au upasuaji ulifanywa kwa juu juu tu.
Msaada madokta
moudgulf, post: 56238991, member: 411326Haina madhara yeyote kwa tatizo lake atumie kwa siku tano mfulilizo then apunzike aangalie hali yake siku 2 then arudie kwakiwango cha kikombe cha chai mara 2 kwa siku yeye mwenyewe ataona badilikO kubwa mwln mwake.Kuhusu Tiba mbadala ni vema muwe mnatoa taarifa zinazojitosheleza maana dawa ni dawa.
Watu wajue majani ya wingi gani, juice ya kiasi gani (lita), kwa muda wa siku ngapi? Hiyo itasidia kupunguza madhara yatokanayo na hiyo dawa kuwa pungufu au zaidi (Over dose).
Na baada ya hapo mgonjwa asubiri siku ngapi kwenda kupima kuona maendeleo ya hali yake.
Bado hawajaja wale wa habat soda na black seedWewe umewahi kuugua tezi dume ukafanya hivyo au unamgeuza mwenzio shamba darasa?
Tezi dume huwa kawaida inarudi ila yake imerudi mapema. Ndiyo maana zamani kama mtu tezidume limevimba, walikuwa wanaliondoa kabisaPole mzee... Nenda hospital kubwa zaidi wakakufanyie uchunguzi wajue kwanin imerudi... Humu JF huwez pata jibu la maana
Kuhusu hicho kipade nina ushahidi.Kama huna jibu potezea. Hivi kuna hospitali ndogo wanaofanya upasuajiwa tezi dume? Huo upasuaji kafanyiwa hospitali kubwa.
Mbona hakuna kitu kinachosukumwa hapo mkuu, unawaza nini?Angekua ni mwanamke kalala hapo anasukumia huo mti hakuna ambae angeona ni ajabu labda kwenye harakati za kumtoa mtoto wakaona wazibe nyuma ili asije akachafua mazingira wakati wa ku-push ili mtoto atoke
Hii iko sawa.moudgulf, post: 56238991, member: 411326Haina madhara yeyote kwa tatizo lake atumie kwa siku tano mfulilizo then apunzike aangalie hali yake siku 2 then arudie kwakiwango cha kikombe cha chai mara 2 kwa siku yeye mwenyewe ataona badilikO kubwa mwln mwake.
mficha uchi maadhi humuumbua!hiyo attachment kumbe ndo huwa wanamanuliwa hivyo🙊🙊
Ww endelea na kuzunguka kwnye mahospitali wakati dawa unayo uwanjani kwako.tunakupa bure ushauri ukitaka unachukua.weng tu wamepona kwa majani mchunga na wengne kwa style yao.c lazima tiba ifanane MUNGU AMETOA TIBA KILA SEHEMU KWA AINA YA MITI ILIYOPO HAPOBado hawajaja wale wa habat soda na black seed
yani haya magonjwa hayana adabu kabisa, watu wanaweka vinyeo rehani 😪mficha uchi maadhi humuumbua!
Mungu amsaidie tu apone, sio poa!yani haya magonjwa hayana adabu kabisa, watu wanaweka vinyeo rehani 😪
tuko pamoja hiyo tiba inasaidia na wenye kansa pia.tunatoa elimu kutokana na mazingira uliyopo.kumbuka pia majani ya mchunga ni tiba halali kabisa ya tezi dume inayoanza.Hii iko sawa.
Asante mkuu