Baada ya kudhuliwa Tundu Lissu: Imani yangu juu ya awamu ya tano imeshuka mpaka 25%

Imani ndiyo msingi wa Ushirika wa kiroho popote duniani.
Nilikuwa na imani kubwa sana hususani siku 100 za utawala wa awamu ya tano lakini mpaka sasa Imani imeyeyuka.

Mtu mwenye ushawishi, mbunge na rais wa TLS anasimama hadharani na kutoa taarifa juu ya watu wanaomfuatilia.

Vyombo husika havitoi ushirikiano wala kuchukua hatua mpaka anadhuliwa. Harafu anakuja Inspector General anasema ile taarifa aliitolea mkutanoni siyo police. Are you a rational figure?

Intelligence ya karne hii ni kufanya vitu proactively siyo reactively.

Kwa tukio hili nimebakiza asilimia 25% tu ya Imani yangu kwa awamu hii. Sijui wenzangu.



Kwa Hisani Ya Watu Wa Mbeya!


Hata ikishuka mpaka 0%, so what?
 
Hata imani yako ikishuka huna uwezo wowte zaidi ya proaganda za mtandaoni..istoshe hukumpigia kura ngosha...hata ukichukia utanuna mwishowe utacheka...2020 mapema sana Maghufuli anachukua nchi sjui utajinyonga...
 
Kwani Polisi wameshatuthibitishia kuwa Serikali ya Awamu ya Tano ndiyo imehusika?
Hao polisi Wanaothibitisha wako wapi ???
Waje wathibitishe haya madeni yetu kwanza ...
Tunawasubiri polisi wathibitishe, Nani waliemteka Ben Sanane na wapi alipo
Tunasubiri polisi wathibitishe kua nani aliemteka Msanii ROMA
Tunasubir polisi wathibitishe nani alimtolea Mh Nape bastola
Tunasubiri Polisi wathibitishe nani alivamia Clouds Media ,
Tunasubiri Polisi Wathibitishe Waliompiga Lissu Risasi ni kina nani ,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom