Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,182
- 1,490
Imani ndiyo msingi wa Ushirika wa kiroho popote duniani.
Nilikuwa na imani kubwa sana hususani siku 100 za utawala wa awamu ya tano lakini mpaka sasa Imani imeyeyuka.
Mtu mwenye ushawishi, mbunge na rais wa TLS anasimama hadharani na kutoa taarifa juu ya watu wanaomfuatilia.
Vyombo husika havitoi ushirikiano wala kuchukua hatua mpaka anadhuliwa. Harafu anakuja Inspector General anasema ile taarifa aliitolea mkutanoni siyo police. Are you a rational figure?
Intelligence ya karne hii ni kufanya vitu proactively siyo reactively.
Kwa tukio hili nimebakiza asilimia 25% tu ya Imani yangu kwa awamu hii. Sijui wenzangu.
Kwa Hisani Ya Watu Wa Mbeya!
HAYA MWEREVU, HALAFU WEE JAMAA NI MKALIMU SANAKwa ujinga na upumbavu....
NANI ANAJALI?
saafMbona nyingi sana hizo,mimi wakati utawala huu unaingia nilikuwa na hizo 25% ya kufanya mambo ya maana leo hii zimebaki 0%.
una moyo yaani una 0% me nlikuwa nna 0% tangu mwanzo as long as aliyepo ni ccm nlichonacho sasa ni -87.567 nna hasi kabisaaa hata sifuri haipoMbona nyingi sana hizo,mimi wakati utawala huu unaingia nilikuwa na hizo 25% ya kufanya mambo ya maana leo hii zimebaki 0%.
unajielewa au UMEOLEWA? weka sawa? ndoa nyingine ngumu jamani duuuhNAJIELEWA
ok endelea kusubiri polisi wake wakuthibitishie..Kwani Polisi wameshatuthibitishia kuwa Serikali ya Awamu ya Tano ndiyo imehusika?
mimi NITAJALI.Unamwambia nani sasa. Hata ikishuka mpaka 0 unafikiri nani anajali?
Kwa hiyo?
kusoma chuo cja taifa ndo ukipanga? duuuuuuuh au ukipanga ndo kushabikia upuuz kwa hoja dhaifu za kipuuzi, kwa sasa ona kama hii ni sawa bt one day u will regret.KATIKA KILA KITU EXPOSURE, WORK AND HISTORY NA MUNGU ALIJANILIA NIMESOMA CHUO CHA TAIFA , KWAHIYO MIMI NI KIPANGA
Hao polisi Wanaothibitisha wako wapi ???Kwani Polisi wameshatuthibitishia kuwa Serikali ya Awamu ya Tano ndiyo imehusika?
daaah KIPANGA hata spellings za neno UKARIMU HUJUI duuuh kweli chuo cha taiga kinatema vitu, kama una diploma hapo ulipo basi hongera.HAYA MWEREVU, HALAFU WEE JAMAA NI MKALIMU SANA
kwa hiyo nn sasa, kauliza nani atajali nmesema mm nitajali,imeisha unauliza kwa hiyo nkujibu nn sasa?Kwa hiyo?