Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,892
- 26,611
Kama huna jibu si ukae kimya tu. Nikuulize nini sasa?
Kama huna jibu si ukae kimya tu. Nikuulize nini sasa?
Polisi wanafanya kaz za nani???ni nani muajiri wao...thn jibu swali,je wanaweza kwenda minyume na bos wao??....Kwani Polisi wameshatuthibitishia kuwa Serikali ya Awamu ya Tano ndiyo imehusika?
diploma mzee unadhani ningeandika humu, jamii forum imejaa wasomi mkuu, nashangaa wewe na elimu yako ya UPE kuja kuandika uharo humu, akhsante kwa kunambia nimekosea spelling ntakua mwanaglifu next time usipate pa kukimbiliadaaah KIPANGA hata spellings za neno UKARIMU HUJUI duuuh kweli chuo cha taiga kinatema vitu, kama una diploma hapo ulipo basi hongera.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanini linitokee mimi na sio wewe, jiombee mwenyewe majanga mkuu,aliwazalo mjinga ndo litakalomtokeakusoma chuo cja taifa ndo ukipanga? duuuuuuuh au ukipanga ndo kushabikia upuuz kwa hoja dhaifu za kipuuzi, kwa sasa ona kama hii ni sawa bt one day u will regret.
Sent using Jamii Forums mobile app
we ndo ulishobokea nlichomjibu dada mwenzako kule juu, now unangeukia vp mumy, pambana na hali yako achana na mimi.Kama huna jibu si ukae kimya tu. Nikuulize nini sasa?
kwa usomi gani mkuu? msomi hajitapi umemaliza diploma yako ya ualimu unasubir ajira mwaka wa ngapi sijui now, kuandika tupu shida unakuja kutusumbua, mixer kuandika herufi kubwa utadhan umeambiwa tunaumwa macho.diploma mzee unadhani ningeandika humu, jamii forum imejaa wasomi mkuu, nashangaa wewe na elimu yako ya UPE kuja kuandika uharo humu, akhsante kwa kunambia nimekosea spelling ntakua mwanaglifu next time usipate pa kukimbilia
nakwambia ww coz seems lyk u take it as normal situation na ma herufi yako makubwa, kwanza najibizanaje na mpuuz aise.kwanini linitokee mimi na sio wewe, jiombee mwenyewe majanga mkuu,aliwazalo mjinga ndo litakalomtokea
nakwambia ww coz seems lyk u take it as normal situation na ma herufi yako makubwa, kwanza najibizanaje na mpuuz aise.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kamwambie dada yako.we ndo ulishobokea nlichomjibu dada mwenzako kule juu, now unangeukia vp mumy, pambana na hali yako achana na mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baki na msaliti wenuImani ndiyo msingi wa Ushirika wa kiroho popote duniani.
Nilikuwa na imani kubwa sana hususani siku 100 za utawala wa awamu ya tano lakini mpaka sasa Imani imeyeyuka.
Mtu mwenye ushawishi, mbunge na rais wa TLS anasimama hadharani na kutoa taarifa juu ya watu wanaomfuatilia.
Vyombo husika havitoi ushirikiano wala kuchukua hatua mpaka anadhuliwa. Harafu anakuja Inspector General anasema ile taarifa aliitolea mkutanoni siyo police. Are you a rational figure?
Intelligence ya karne hii ni kufanya vitu proactively siyo reactively.
Kwa tukio hili nimebakiza asilimia 25% tu ya Imani yangu kwa awamu hii. Sijui wenzangu.
Kwa Hisani Ya Watu Wa Mbeya!
Mbona unaanza kupiga mayowe?umepanik hahahahaaaaa kama unavyobong'oaga kwa mangi muuza duka? me wa kiume sista tuheahimiane basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujali ni wewe peke yako....... Wenzako kwenye boti yenu wanajali sana ndio maana wana kazi ya kuweka watu lockup na sasa hivi wame advance kdg wameanza kupopoa wasio na imani nao kwa risasiNANI ANAJALI?
Mkuu asante , sikuipata hii .
Aliyemwambie spika 'washughulikie huko na wakitoka huku tutapambana nao'....... Kwa lafudhi ya "ki PUSH"Aliyefanya hili hakufanya mzaha. Alitaka amwondoe. Ni nani ana nia kubwa hivyo yakutaka kumwondoa? What is the motive?