Hivi wanaona raha gani kujianika miili yao?
Sasa hivi yupo singo kaachana na mumewe...acha tulio singo tuthaminishe kabla hatujatupia maneno kumiliki kifaa hicho!!!
cc Wema Sepenga...!Dada zetu wa kibongo (wanaojiita Super star) wakiona hivyo wanatamani wangekuwa wao..........
Khaaa, wanaokula hivi vitu wanafaidi kwa kweli