lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,166
- 33,410
Lala ukoBaada ya kesi ya Mbowe,utakua hivi.
Kesi hii itakapoisha vyovyote vile,iwapo Mbowe atafungwa ama atashinda,utakua hivi:-
Mbowe atakua mtu/mwanasiasa/mfungwa maarufu Sana hapa afrika baada ya mandela, hata kama akifungwa ama akiachiwa.
Dunia mzima itamjua Mbowe na chadema yake,
Mahakama ya tanzania itatazamwa kwa jicho la kipekee kabisa,
Serikali ya tanzania itaangaliwa na dunia kwa jicho la tofauti kabisa,hasa ukizingatia nafasi ya tanzania ya kale ya kutetea watu waliokua wakionewa katika nchi zao,mfano akina museveni,mandela,nujoma,chisano n.k
Wananchi watajenga chuki na serikali ya ccm, hii ni hata kama Mbowe atashinda ama atashinda kesi,
Kusudio ya kudai latiba mpya ndio itapamba moto,
Matumizi ya nguvu ya jeshi la polisi na vyombo vya dola yataongezeka dhidi ya wadai katiba,
Vuguvugu la kudai latiba litapata uungwaji mkono toka makundi mbalimbali na hatimae serikali kusalimu amri,
Katiba mpya itaandikwa,
Uchaguzi utafanyika,
Ccm itashindwa uchaguzi,
Ccm itafanya Kila njia kutaka kukataa matokeo lakini itashindwa kwa hilo,
Ccm itakubali matokeo kwa unyonge,
Ccm itatolewa madarakani.
Ndugu zangu haya yote yanayotokea sasa ni njia za kuelekea nchi ya ahadi.
Ndugu zangu tawala zote dhalimu ziliangukaga kwa mtindo huu.
Msione haya yanatokea mkadhani ni bahati mbaya,ni jioni kwa ccm imefika,giza ndo linaingia,hakuna tena mwanga kwa ccm.
Hilo suala la Mbowe linaenda kufanya Dunia kuwa kinyume na CCM.
Dunia yote iko hapa tanzania na inaona.
Mabalozi ni wawakilishi wa nchi zao,
Wanaripoti kila kitu kwao.
WATANZANIA hii kesi ya Mbowe ina faida zaidi kwa Mbowe chadema na wapinzani kuliko serikali.
Tunaanda le mabangoz ya mapokezi hapa new york city you know!
Au sioTunaanda le mabangoz ya mapokezi hapa new york city you know!
mimi napenda mabadiliko, pengine tuwe hata na vyama viwili vinavobadilishana dola, ila Kwa upinzani wa Tz, bado sana,ni kama wanacheza tu ngonjera, hawajajiandaa hata kidogo kushika dola, bado wana ushawishi mdogo sana kwa wananchi. Ndugu mwandishi, upinzani haujajianda kushika dola, nasisitiza kabisa, Hawapo serious kabisa, CCM imewekeza kwenye nyoyo za watu wengi sana, na ina mbinu za hali ya juu sana, Hizo ndoto zako zitakuja kutimia baada ya miaka mingi sana, rejea kauli za viongozi wa upinzani kipindi cha ESCROW TEGETA, na kipindi wanamkaribisha Former PM agombee kwao, baada ya kukosa upande wa pili.Baada ya kesi ya Mbowe,utakua hivi.
Kesi hii itakapoisha vyovyote vile,iwapo Mbowe atafungwa ama atashinda,utakua hivi:-
Mbowe atakua mtu/mwanasiasa/mfungwa maarufu Sana hapa afrika baada ya mandela, hata kama akifungwa ama akiachiwa.
Dunia mzima itamjua Mbowe na chadema yake,
Mahakama ya tanzania itatazamwa kwa jicho la kipekee kabisa,
Serikali ya tanzania itaangaliwa na dunia kwa jicho la tofauti kabisa,hasa ukizingatia nafasi ya tanzania ya kale ya kutetea watu waliokua wakionewa katika nchi zao,mfano akina museveni,mandela,nujoma,chisano n.k
Wananchi watajenga chuki na serikali ya ccm, hii ni hata kama Mbowe atashinda ama atashinda kesi,
Kusudio ya kudai latiba mpya ndio itapamba moto,
Matumizi ya nguvu ya jeshi la polisi na vyombo vya dola yataongezeka dhidi ya wadai katiba,
Vuguvugu la kudai latiba litapata uungwaji mkono toka makundi mbalimbali na hatimae serikali kusalimu amri,
Katiba mpya itaandikwa,
Uchaguzi utafanyika,
Ccm itashindwa uchaguzi,
Ccm itafanya Kila njia kutaka kukataa matokeo lakini itashindwa kwa hilo,
Ccm itakubali matokeo kwa unyonge,
Ccm itatolewa madarakani.
Ndugu zangu haya yote yanayotokea sasa ni njia za kuelekea nchi ya ahadi.
Ndugu zangu tawala zote dhalimu ziliangukaga kwa mtindo huu.
Msione haya yanatokea mkadhani ni bahati mbaya,ni jioni kwa ccm imefika,giza ndo linaingia,hakuna tena mwanga kwa ccm.
Hilo suala la Mbowe linaenda kufanya Dunia kuwa kinyume na CCM.
Dunia yote iko hapa tanzania na inaona.
Mabalozi ni wawakilishi wa nchi zao,
Wanaripoti kila kitu kwao.
WATANZANIA hii kesi ya Mbowe ina faida zaidi kwa Mbowe chadema na wapinzani kuliko serikali.
Hata madictator wa zamani wamekuwa wakihudhuria mikutano hii . Nothing special hapa
SawaHata madictator wa zamani wamekuwa wakihudhuria mikutano hii . Nothing special hapa
Kama mnapenda mabadiliko nini hofu yenu kuwa na Katiba ya wananchi yenye kuridhia TUME HURU YA UCHAGUZI ?!. Si mmewekeza kwenye mioyo ya wananchi . Kwanini mwatumia Dola kupora mchakato wa uchaguzi hata wa serikali za mitaa ?!mimi napenda mabadiliko, pengine tuwe hata na vyama viwili vinavobadilishana dola, ila Kwa upinzani wa Tz, bado sana,ni kama wanacheza tu ngonjera, hawajajiandaa hata kidogo kushika dola, bado wana ushawishi mdogo sana kwa wananchi. Ndugu mwandishi, upinzani haujajianda kushika dola, nasisitiza kabisa, Hawapo serious kabisa, CCM imewekeza kwenye nyoyo za watu wengi sana, na ina mbinu za hali ya juu sana, Hizo ndoto zako zitakuja kutimia baada ya miaka mingi sana, rejea kauli za viongozi wa upinzani kipindi cha ESCROW TEGETA, na kipindi wanamkaribisha Former PM agombee kwao, baada ya kukosa upande wa pili.
Itoshe kusema upinzani wana mbinu dhaifu ili washike dola.
Kama ndivyo, kwa nini lazima ccm waibe sana kura ili kushinda?!!!...CCM imewekeza kwenye nyoyo za watu wengi sana, na ina mbinu za hali ya juu sana, Hizo ndoto zako zitakuja kutimia baada ya miaka mingi sana,
Wapinzani njaa walitaka kutumia vikao vya katiba kama kichochoro cha kupiga hela na magenge yao. Maana kila kikao kimoja washiriki wangelipwa mamilioni ya kodi na tozo za walalahoi. Mama kashtukia mchezo na kuzielekeza hela hizo katika ujenzi wa shule, barabara na hospital nchi nzima. Anaetaka katiba aiweke kwenye ilani ya chama chake katika uchaguzi mkuu ili akichaguliwa ailete!
Mpka sasa baada a Hangaya kuwavuluga 50% ya wanaccm wanataka katiba mpya, 30% ccm hawajafanya maamuzi kqma.wanataka au la, 20% majizi na magaidi ndani ya ccm hawataki kusikia katiba mpya.Baada ya kesi ya Mbowe,utakua hivi.
Kesi hii itakapoisha vyovyote vile,iwapo Mbowe atafungwa ama atashinda,utakua hivi:-
Mbowe atakua mtu/mwanasiasa/mfungwa maarufu Sana hapa afrika baada ya mandela, hata kama akifungwa ama akiachiwa.
Dunia mzima itamjua Mbowe na chadema yake,
Mahakama ya tanzania itatazamwa kwa jicho la kipekee kabisa,
Serikali ya tanzania itaangaliwa na dunia kwa jicho la tofauti kabisa,hasa ukizingatia nafasi ya tanzania ya kale ya kutetea watu waliokua wakionewa katika nchi zao,mfano akina museveni,mandela,nujoma,chisano n.k
Wananchi watajenga chuki na serikali ya ccm, hii ni hata kama Mbowe atashinda ama atashinda kesi,
Kusudio ya kudai latiba mpya ndio itapamba moto,
Matumizi ya nguvu ya jeshi la polisi na vyombo vya dola yataongezeka dhidi ya wadai katiba,
Vuguvugu la kudai latiba litapata uungwaji mkono toka makundi mbalimbali na hatimae serikali kusalimu amri,
Katiba mpya itaandikwa,
Uchaguzi utafanyika,
Ccm itashindwa uchaguzi,
Ccm itafanya Kila njia kutaka kukataa matokeo lakini itashindwa kwa hilo,
Ccm itakubali matokeo kwa unyonge,
Ccm itatolewa madarakani.
Ndugu zangu haya yote yanayotokea sasa ni njia za kuelekea nchi ya ahadi.
Ndugu zangu tawala zote dhalimu ziliangukaga kwa mtindo huu.
Msione haya yanatokea mkadhani ni bahati mbaya,ni jioni kwa ccm imefika,giza ndo linaingia,hakuna tena mwanga kwa ccm.
Hilo suala la Mbowe linaenda kufanya Dunia kuwa kinyume na CCM.
Dunia yote iko hapa tanzania na inaona.
Mabalozi ni wawakilishi wa nchi zao,
Wanaripoti kila kitu kwao.
WATANZANIA hii kesi ya Mbowe ina faida zaidi kwa Mbowe chadema na wapinzani kuliko serikali.
Magaidi akina Hamza hamuishi dunianiUmaarufu wa Mbowe unaishia Ufipa, hata Haji Manara ni maarafu zaidi ya Mbowe, akikutwa na hatia atafungwa na hakuna mtu yoyote anayeweza kufanya lolote juu ya hilo.
Hawezi, ni mroho wa madaraka…Mbowe should retire...
Mama aliingizwa chaka na wahafidhina wakamuaminisha hili jinamizi linalotokea sasa. Akasimama hadharani akiuamini uongo ule uliobobea kuwa ukweli na wabambika vyesi aliowaonya wakaingia kazini kupika ushahidi. Kabla haujaiva wameupakua aibu iko sebuleniBaada ya kesi ya Mbowe,utakua hivi.
Kesi hii itakapoisha vyovyote vile,iwapo Mbowe atafungwa ama atashinda,utakua hivi:-
Mbowe atakua mtu/mwanasiasa/mfungwa maarufu Sana hapa afrika baada ya mandela, hata kama akifungwa ama akiachiwa.
Dunia mzima itamjua Mbowe na chadema yake,
Mahakama ya tanzania itatazamwa kwa jicho la kipekee kabisa,
Serikali ya tanzania itaangaliwa na dunia kwa jicho la tofauti kabisa,hasa ukizingatia nafasi ya tanzania ya kale ya kutetea watu waliokua wakionewa katika nchi zao,mfano akina museveni,mandela,nujoma,chisano n.k
Wananchi watajenga chuki na serikali ya ccm, hii ni hata kama Mbowe atashinda ama atashinda kesi,
Kusudio ya kudai latiba mpya ndio itapamba moto,
Matumizi ya nguvu ya jeshi la polisi na vyombo vya dola yataongezeka dhidi ya wadai katiba,
Vuguvugu la kudai latiba litapata uungwaji mkono toka makundi mbalimbali na hatimae serikali kusalimu amri,
Katiba mpya itaandikwa,
Uchaguzi utafanyika,
Ccm itashindwa uchaguzi,
Ccm itafanya Kila njia kutaka kukataa matokeo lakini itashindwa kwa hilo,
Ccm itakubali matokeo kwa unyonge,
Ccm itatolewa madarakani.
Ndugu zangu haya yote yanayotokea sasa ni njia za kuelekea nchi ya ahadi.
Ndugu zangu tawala zote dhalimu ziliangukaga kwa mtindo huu.
Msione haya yanatokea mkadhani ni bahati mbaya,ni jioni kwa ccm imefika,giza ndo linaingia,hakuna tena mwanga kwa ccm.
Hilo suala la Mbowe linaenda kufanya Dunia kuwa kinyume na CCM.
Dunia yote iko hapa tanzania na inaona.
Mabalozi ni wawakilishi wa nchi zao,
Wanaripoti kila kitu kwao.
WATANZANIA hii kesi ya Mbowe ina faida zaidi kwa Mbowe chadema na wapinzani kuliko serikali.
Ajitayarishe na kutukanwa kwenye mabango yanayo msubiri. Aambatane na Kikwete.