lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,139
- 33,201
Baada ya kesi ya Mbowe,utakua hivi.
Kesi hii itakapoisha vyovyote vile,iwapo Mbowe atafungwa ama atashinda,utakua hivi:-
Mbowe atakua mtu/mwanasiasa/mfungwa maarufu Sana hapa afrika baada ya mandela, hata kama akifungwa ama akiachiwa.
Dunia mzima itamjua Mbowe na chadema yake,
Mahakama ya tanzania itatazamwa kwa jicho la kipekee kabisa,
Serikali ya tanzania itaangaliwa na dunia kwa jicho la tofauti kabisa,hasa ukizingatia nafasi ya tanzania ya kale ya kutetea watu waliokua wakionewa katika nchi zao,mfano akina museveni,mandela,nujoma,chisano n.k
Wananchi watajenga chuki na serikali ya ccm, hii ni hata kama Mbowe atashinda ama atashinda kesi,
Kusudio ya kudai latiba mpya ndio itapamba moto,
Matumizi ya nguvu ya jeshi la polisi na vyombo vya dola yataongezeka dhidi ya wadai katiba,
Vuguvugu la kudai latiba litapata uungwaji mkono toka makundi mbalimbali na hatimae serikali kusalimu amri,
Katiba mpya itaandikwa,
Uchaguzi utafanyika,
Ccm itashindwa uchaguzi,
Ccm itafanya Kila njia kutaka kukataa matokeo lakini itashindwa kwa hilo,
Ccm itakubali matokeo kwa unyonge,
Ccm itatolewa madarakani.
Ndugu zangu haya yote yanayotokea sasa ni njia za kuelekea nchi ya ahadi.
Ndugu zangu tawala zote dhalimu ziliangukaga kwa mtindo huu.
Msione haya yanatokea mkadhani ni bahati mbaya,ni jioni kwa ccm imefika,giza ndo linaingia,hakuna tena mwanga kwa ccm.
Hilo suala la Mbowe linaenda kufanya Dunia kuwa kinyume na CCM.
Dunia yote iko hapa tanzania na inaona.
Mabalozi ni wawakilishi wa nchi zao,
Wanaripoti kila kitu kwao.
WATANZANIA hii kesi ya Mbowe ina faida zaidi kwa Mbowe chadema na wapinzani kuliko serikali.