Baada ya JK, Rizwan naye alalama kung'olewa UVCCM

Baada ya JK, Rizwan naye alalama kung'olewa UVCCM

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Nimesoma gazeti la Jamboleo, likieleza kuwa UVCCM inakusudia kumng'oa mtoto wa mkwere kufuatia kuwa chanzo cha jumuiya hiyo kushindwa kufanikisha malengo yake. Kama Dot Connector inaonyesha familia hii ni ya walalamishi maana hata mkwere alilalama kuwa CDM inafanya maandamano ya kumng'oa na sasa mkwere mtoto anapiga mayowe hayo hayo. Tujadilini wakuu
 
wale ni watu wa ajabu sana..............
 
Walimpa madaraka kisa "baba" wavumilie tu..
 
Mama Salma naye anadai lipi?
Rz 1 atalia na kusaga meno JK atakapoondoka.
Hawa wanaomuunga mkono Rz 1 ni njaa tu zinawasumbua watamgeuka vibaya mtajionea.
 
Ukitaka kupima uzito wa taarifa ni muhimu kujua chombo cha habari au gazeti lilitoa habari hiyo linamilikiwa na nani katika jamii yetu. Jamboleo ni gazeti la nani?
 
Hivi sasa baadhi ya vyombo vya habari ingawa sio vyote vimejiingiza katika vita vya kisiasa na mbaya zaidi vingine vimefikia hatua ya kubuni habari kama silaha ya mwisho kupambana na mshindani wake. Hatua hii ndio inatulazimisha kujua wamiliki wa vyombo hivyo.
 
Ukitaka kupima uzito wa taarifa ni muhimu kujua chombo cha habari au gazeti lilitoa habari hiyo linamilikiwa na nani katika jamii yetu. Jamboleo ni gazeti la nani?

Jambo leo linamilikiwa na R1 na washirika wake.
 
Hivi sasa baadhi ya vyombo vya habari ingawa sio vyote vimejiingiza katika vita vya kisiasa na mbaya zaidi vingine vimefikia hatua ya kubuni habari kama silaha ya mwisho kupambana na mshindani wake. Hatua hii ndio inatulazimisha kujua wamiliki wa vyombo hivyo.

Linamilikiwa na huyo huyo Rizwan likiwa chini ya mtu wake Pinto na wachangiaji wakubwa ni Salva Rweyemamu ambaye anaelezwa kuwa ndiye aliyetoa wazo la JK awe na gazeti kwa kuwa mengine ameshawakorofisha wamiliki wake hivyo wangewez akumjeruhi wakati wa kampeni 2010. Wanajamvi nadhani nimesaidia mnaweza hapo pia kuunganisha doti.
 
waaache walalamike si unajua like father like son
 
Mtasema sana tena sana Chadema.

lakini pilipili yaliwa shamba nyie yawawashia nini?
 
Nyie mlitaka asemee gazeti gani wakati magazeti mengine wameyashika wagombea wengine wa 2015? Kwani hoja ya kutaka kumng'oa ni uongo na walioko nyuma yake tunawajua. Subirini na sisi tunawafanyia kazi
 
Nilipofika pwani moja ya makabila niliyoambiwa sio makini lilikuwa la wakwere lakini busara yangu ilinifanya niwaheshimu sana wakwere na huku nikitaka kujua kama kweli wana matatizo kama wengine walivyodai.

Hii busara ninayo toka udogo siwezi mdharau mtu au siwezi nikashindwa kuwa na uhusiano na fulani eti tu kuna mmoja wa rafiki ama jamaa yangu anamchukia.

Rakini siku zimekwenda miaka 25 sasa nimegundua kuwa mkwere ngomani, mkwere segere, mkwere kumtoa mwali, mkwere mnuso, mkwere mnazi, mkwere na ngono, mkwere, mipasho, mkwere visasi, mkwere hushtuka hata kama ni jani limemgusa (hapa hata mabinti wakikwere wakiguswa mbavu huruka kwa ashki). Mkwere kamwe hakubali kosa zaidi ya kumsingizia mwingine hata kama kosa ni lake.
Nenda msata hutawaona hata kama wamefumaniwa husingizia kutongozwa au kutegwa.

Sina nia ya kuwadharau wakwere lakini leo mkwere akija na akijitambulisha ni mkwere mimi huongeza umakini maana hawa jamaa siwaamini na huwezi waamini wakwere katika mambo serious kama ya utawala wa nchi.

Wakwere wanafiki bwana walikuja wakajipanga kwenye foleni uwanja wa taifa eti tujue watu wa watu tukawa nao traventine kisha msondo watu wakaingizwa choo cha kike. Ni kosa kubwa kumwamini mkwere kwenye mambo ya msingi mkwere mpe kazi ya kuliendeleza segere au kuandaa ngoma ya kumtoa mwali.
 
Kwahiyo Membe kashika gazeti gani? hivi huyu mkwere yeye ni mwanasiasa kweli

Nyie mlitaka asemee gazeti gani wakati magazeti mengine wameyashika wagombea wengine wa 2015? Kwani hoja ya kutaka kumng'oa ni uongo na walioko nyuma yake tunawajua. Subirini na sisi tunawafanyia kazi
 
Nyie mlitaka asemee gazeti gani wakati magazeti mengine wameyashika wagombea wengine wa 2015? Kwani hoja ya kutaka kumng'oa ni uongo na walioko nyuma yake tunawajua. Subirini na sisi tunawafanyia kazi

Mkuu samahani kama nitakukwaza ila let me be honest, avatar yako na jina vinanikwaza kupita maelezo. Ina maana hii nchi mnataka iongozwe na majuha mpaka lini? Tumechoka jamani tupeni mapumziko kidogo. Ngoja nitafute mwongozo kwenye hili then nitarudi.
 
Nimesoma gazeti la Jamboleo, likieleza kuwa UVCCM inakusudia kumng'oa mtoto wa mkwere kufuatia kuwa chanzo cha jumuiya hiyo kushindwa kufanikisha malengo yake. Kama Dot Connector inaonyesha familia hii ni ya walalamishi maana hata mkwere alilalama kuwa CDM inafanya maandamano ya kumng'oa na sasa mkwere mtoto anapiga mayowe hayo hayo. Tujadilini wakuu

Watu wazima mnatumia muda mwingi kuongea non-sense. Kwa namna hii kwakweli hatutafika, Mimi nilifikiri ilitakiwa sasa hivi kila mtanzania aongelee Hussein mwinyi ajiuzulu kutokana na milipuko ya mabomu. Watu mnaanza kuongelea watoto wadogo ambao siyo hata wakuu wa wilaya. Ndiyo maana hata serikali ya CCM inafanya madudu ikijua watu wataongelea Serious issue for few days, then watarudi kulekule kwenye Udaku (Watanzania tunapenda udaku kuliko issues za maana zinazojenga taifa)
 
Mkuu samahani kama nitakukwaza ila let me be honest, avatar yako na jina vinanikwaza kupita maelezo. Ina maana hii nchi mnataka iongozwe na majuha mpaka lini? Tumechoka jamani tupeni mapumziko kidogo. Ngoja nitafute mwongozo kwenye hili then nitarudi.

Avatar yanguuu, imekukokosea niniiii? Na ID yangu imekusikitisha niniiii.....nijibu!
 
Hizo mbio za kugombea urais 2015 na vyeo ndani ya CCM tutaona mengi tu maana hata wale wanasiasa waliokuwa kimya nao wameaanza kuongea siku hizi, kiukweli UVCCM kuna tatizo na kama watu walioko UVCCM wanamuogopa RIZ 1 kwasababu baba yake ni mkuu wa nchi hapo ndio utaona jinsi CCM wanavyojua kupakana mafuta mgongoni huku kwenye vyombo vya habari na magazeti wanalalamika wakiwa kwenye vikao vyao wanakuwa kimya unaambiwa wanalinda maslahi ya chama.
 
Back
Top Bottom