Baada ya JK, Rizwan naye alalama kung'olewa UVCCM

Hawa UVccm wasiseme eti anayejua raisi ajaye ni JK pekee. Siyo kweli hata kidogo, sana anachojua ni "Mgombea Uraisi kwa tiketi ya CCM" basi.

Raisi ajaye anafahamika na wananchi.
 
Sijaelewa Mambo mawili kama siyo matatu: -

  1. Hivi Kawambwa kwa huko Bagamoyo ni kijana! au anashiriki vipi!
  2. Hivi ni sawa kwa hao Ndugu zangu kutoa tamko au ni ukosefu wa maadali kuwa walipaswa kutumia vikao vya chama kufikisha jumbe zao La wamefuatilia ndani ya chama lakini Makamba na Secretarieti wamelala kwahiyo wamechoka kuona chama chao kinaporomoka?
  3. Hili Gavana linakuwa swala la Kisiasa au huko kwenye kikao hakukuwepo mtaalamu wa kufafanua mipaka ya kisiasa na kitaalam yaani Kikwete wanataka afanye mambo ya kitaalam pia? au Kama Ouko kama Moi kama Kenya!?

CCM kweli inaarisha sasa hivi.
 
Back
Top Bottom