Baada ya huu mshikemshike, watakutana kweli?

Mbowe mwenyekiti kwa miaka 17 sio diktekta
Mama samia ana miezi minne tu mnasema diktekta
Halafu ieleweke kwamba kua mwanasiasa haimaanishi mtu hawezi fanya makosa au ni mtakatifu. Mtu yeyote anaweza fanya kosa na akatumia siasa au uanaharakati kujificha
Halafu hii dhana ya kwamba viongozi wa serekali/ serekalitu ndo hua inakosea ila wanasiasa hasa wa upinzani hawakosei inatoka wap?
 
Kwa waislam wenzake hawezi kukutana nao kwa sababu watampa makavu, na pili hawezi kukutana na vyama vya upinzani labda Shibuda!
 
Vurugu zipi zilizofanywa na Chadema? Mbona walikutana Dar na Moro na hawakufanya vurugu zozote? Mwanza wamefanya vurugu zipi!? 😳
Naona kama wanafosi
Wkt mwisho wa siku atayeamua ni Samia
Labda anaandaa Bajeti.,
 
Achana na mawazo wako POTOFU. Huwezi kumtega mtu kwa kumuandikia barua na kumkumbusha kuhusu barua yako, labda hujui maana halisi ya neno KUMTEGA.
 
Unafosi vipi kwa kumuandikia barua mtu na kumkumbusha hadharani kuhusu barua hiyo naye anapiga kimya!?
Naona kama wanafosi
Wkt mwisho wa siku atayeamua ni Samia
Labda anaandaa Bajeti.,
 
Achana na mawazo wako POTOFU. Huwezi kumtega mtu kwa kumuandikia barua na kumkumbusha kuhusu barua yako, labda hujui maana halisi ya neno KUMTEGA.
Hizo zote zilikuwa ni strategies, hakuna move yoyote kwenye siasa inayofanywa ikiwa na nia moja (ya dhati)...nipo curious zaidi kuona mwisho wa haya madai ya katiba mpya, baada ya kilichotokea !
 
Sasa strategies na kumtega wapi na wapi? Wewe ulitegemea Chadema wazuke tu Ikulu bila taarifa kwamba wamefika pale kukutana na samia huku akiwa hana taarifa yoyote!? 😳😳😳
Hizo zote zilikuwa ni strategies, hakuna move yoyote kwenye siasa inayofanywa ikiwa na nia moja (ya dhati)...nipo curious zaidi kuona mwisho wa haya madai ya katiba mpya, baada ya kilichotokea !
 
Dogo Umefurahi Sana ehe??
 
Samia hana ubavu wa kukutana na Mbowe tena, ameshapoteza muelekeo na hajui wapi ataanzia kujenga imani yake kwa wapinzani na wananchi kwa ujumla, ukiondoa wale waimba mapambio wa lumumba.
Magufuli pia hakukutana na Mbowe, hakuto kuwa na ajabu hata kama mama SSH hato kutana nae. Ni siasa tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu iliyokuwa inatumika ilikuwa sio kukemea kuvunjwa kwa sheria ila kudai katiba bila kusikiliza upande wa pili na lugha iliyokuwa inatumika ilikuwa "confrontational" , kwa nini nguvu hiyo na ubabe haukutumika wakati wa Magufuli ?
Wakati gani? Wakati wa Magufuli ? hata maandamano yalifanyika vyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upepo wa yanayoendelea Tz, mie naona Mama ataishia labda kukutana na viongozi wa vile vyama pendwa vya upinzani ambavyo vingi huwa ni vile vinavyoibuka kipindi cha uchaguzi ili kuidhinisha tu zoezi hilo.......... kazi kwelikweli.
Samia alizuia mikutano ya kisiasa kinyume cha katiba na haki za vyama vya siasa. Hilo ninkosa kubwa sana la kutoheshimu kiapo chake cha urais cha kuheshimu katiba
 
Sasa strategies na kumtega wapi na wapi? Wewe ulitegemea Chadema wazuke tu Ikulu bila taarifa kwamba wamefika pale kukutana na samia huku akiwa hana taarifa yoyote!? 😳😳😳
Hiyo ilikuwa ni strategy ya kumuweka Samia under pressure, na kwa namna yoyote walijua lazima kuna mahali atatumia mbinu zilizotumika kama last resort...tukiweka "partisanship" pembeni ukweli unaonekana ...Mbowe alimuomba maridhiano Rais Magufuli 9 December 2019 lakini mpaka tunaingia kwenye uchaguzi hakuwahi kukumbushia wala kushinikiza chochote kwa sababu Magufuli alikuwa "controversial" na aliwarahisishia kazi yao ( he often shot himself on the foot )...Samia alianza utawala wake akijaribu to tip-toe and please everyone kutoka waliopo kwenye chama chake na wapinzani wake...na kubadili taswira ya serikali yake it was a delicate task na alipotingishwa amerudia mbinu zile zile ambazo hazina benefit yoyote kwa nchi...angalau international media kwa miezi mitatu zilikuwa zikiandika habari chanya kuhusu Tanzania, ila kwa sasa zimehamia kwenye hasi, na hiyo hasi ndio mtaji wa "wanaharakati"
 
Bado una mawazo POTOFU. Tumefanya uchaguzi October 2020 ambao mimi ba Watanzania wtunauita UCHAFUZI kwani yaliyotokea wote tunayajua.
Nchi ina mfumo wa vyama vingi kwa miaka 30 sasa lakini bado ina katiba ya chama kimoja.
Kikwete aliunda Tume ya Warioba ili ikusanye maoni ya Watanzania nchi nzima na wakaifanya vizuri sana kazi ile na hata Kikwete akawapongeza kwa UZALENDO wake.
Kikwete huyo huyo ambaye aliiona rasimu ile nzuri sana lakini baada ya kutishwa na maccm kwamba rasimu ile ikipitishwa na kuwa Katiba ya nchi basi maccm hayatashinda tena uchaguzi nchini.
Sasa pressure iko wapi hapo wewe!? Huoni huu mwelekeo wa nchi uliojaa dhuluma na udhalimu wa kutisha.
Mbona maccm damu damu ambao waliwahi kushika nafasi mbali mbali za juu Serikalini Warioba na Butiku nao wanaifagilia Katiba mpya!? Hawa nao wanampa samia pressure ili iweje!? 😳
 
Ulitaka Chadema wasikemee uvunjifu wa sheria kwasababu palikuwa na miadi ya kukutana na Rais?

Wacha ushamba.

Pointi kwamba Mbowe alitangaza mkakati wa kudai katiba kibabe kana kwamba anayo BATNA thabiti nyuma yake imeshangaza wengi. Achille's Heel principle hakuikumbuka! Hata washauri wake waliisahau!

Uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa umefichua siri moja kwamba mabaraza ya chadema yamekufa. Hayapo.

Sasa imani kwamba at the political tipping point peoples power overruns people in power waliiamini vipi kwa haraka na mihemuko kama ile niliyoona Mwanza?

Jifunzeni kusoma alama za nyakati.
 
Hapo umeingiza udini,wewe mkristo mdini mwenye roho mbaya Sana,kwanini usiseme Fulani kampa tuhuma Fulani mpaka utaje dini zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…