EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameishutumu Urusi kwa kuzuia usafirishaji wa tani milioni 22 za chakula na kudai kuwa shida ya chakula inaweza kuwa tishio la pili baada ya nishati.
Ameomba mataifa yaliyoendelea kumsaidia kurejesha bandari zake ili kuepusha tatizo hilo.
Akizungumza na Waziri Mkuu wa Ureno António Costa, Zelensky ameomba Jumuiya za ulimwengu kusaidia Ukraine kufungua bandari akisisitiza kuwa shida ya chakula itakuwa kubwa kuliko ya nishati.
#HabarileoUPDATES