Baada ya gesi na mafuta sasa ni zamu ya chakula, Russia anawanyoosha NATO hadi waseme poo

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,518
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameishutumu Urusi kwa kuzuia usafirishaji wa tani milioni 22 za chakula na kudai kuwa shida ya chakula inaweza kuwa tishio la pili baada ya nishati.

Ameomba mataifa yaliyoendelea kumsaidia kurejesha bandari zake ili kuepusha tatizo hilo.

Akizungumza na Waziri Mkuu wa Ureno António Costa, Zelensky ameomba Jumuiya za ulimwengu kusaidia Ukraine kufungua bandari akisisitiza kuwa shida ya chakula itakuwa kubwa kuliko ya nishati.

#HabarileoUPDATES
FB_IMG_1653318258238.jpg
 
huyu mjomba anatafuta njia ya kuwaingiza NATO kwenye vita lakini bila kujua kuwa wenzie wamenusa harufu ya umauti na hawatathubutu kwenda direct kupigana na Mrusi wataishia kumpa tumizinga twa kubeba mabegani na tudrones twa Syria ambato tunanyaushwa na laser weapon za mrusi ndani sekunde 5 tu... anawaomba jumuiya ya kimataifa kufungua bandari anafikiri ni rahisi kihivyo.....pole zelensiki...
 
huyu mjomba anatafuta njia ya kuwaingiza NATO kwenye viti lakini bila kujua kuwa wenzie wamenusa harufu ya umauti na hawatathubutu kwenda direct kupigana na Mrusi wataishia kumpa tumizinga twa kubeba mabegani na tudrones twa Syria ambato tunanyaushwa na laser weapon za mrusi ndani sekunde 5 tu... anawaomba jumuiya ya kimataifa kufungua bandari anafikiri ni rahisi kihivyo.....pole zelensiki...
unapotumia neno "TU" kudogodisha
 
Usimlaumu sana huyu mtu. Hiyo ni fani yake. Anajua anaigiza jukwaani.
 
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameishutumu Urusi kwa kuzuia usafirishaji wa tani milioni 22 za chakula na kudai kuwa shida ya chakula inaweza kuwa tishio la pili baada ya nishati.

Ameomba mataifa yaliyoendelea kumsaidia kurejesha bandari zake ili kuepusha tatizo hilo.

Akizungumza na Waziri Mkuu wa Ureno António Costa, Zelensky ameomba Jumuiya za ulimwengu kusaidia Ukraine kufungua bandari akisisitiza kuwa shida ya chakula itakuwa kubwa kuliko ya nishati.

#HabarileoUPDATESView attachment 2235833
Mwaga mboga namwaga ugali,,,,huyu Putin huyu!
 
Kuweka Mambo Sawa TU

Kabla ya Vita,Ukraine ilikuwa na Tani Milioni 40 za Nafaka kwenye maghala yake ambayo yalitakiwa kusafirishwa kwenda Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini na Afrika Mashariki.

Baada ya Vita kuanza,Meli za mizigo zilishindwa kwenda kubeba Hizo Nafaka kutoka Ukraine na Sasa Zinaozea Ghalani. Urusi iliiba Tani Elfu 17 za Nafaka kutoka kwenye maeneo iliyoyateka Nchini Ukraine. Ndio maana unaona Njaa kwenye Mataifa ya Misri,Jordani,Sudani,Somalia,Djibout,Eriteria. Nchi Kama Misri ya Sudani zinategemea ngano kwa 90% kutoka Nchini Ukraine,Unategemea Nini?
 
Sababu kuu mbili za kutoruhusu ngano kutoka ni hizi ambazo Urusi imerudia mara kadhaa kufafanua. Hata jana wamejibu tena.
1.Ngano mamilioni ya Tani za ngano kutoka Ukraine yalikuwa yanasafirishwa kinyemela kwenda nchi za Ulaya kufidia gharama ya msaada na silaha ambazo wamekuwa wakiisaidia Ukraine. Mrusi anasema ni uongo mkubwa na uzushi kwa nchi za magharibi kuudanganya ulimwengu kuwa ngano inaenda kwenye nchi zenye njaa ambazo zipo kusini, Afrika na Asia wakati zinakwenda Ulaya na wenye uhitaji wa hizo ngano haziwafikii. Lengo kuu ni kufidia gharama za wanayoiita ni msaada kwa Ukraine.
Ukweli ni kuwa ngano ya Ukraine ilikuwa ikiporwa tuu na haya mataifa bila kulipa chochote.

2.Urusi imesema bandari zote za Ukraine huko black sea zilitegwa mabomu mengi sana ya chini ya bahari.. Na baadhi ya mikanda ya mabomu yale ilikatika na yamesambaa black sea yote kuelekea hadi Mediterranean.. Kumbuka hadi uturuki walianza kuyavua.. Hivyo hakuna meli ya kiraia inayoweza kusogea au kutia nanga kwenye bandari hizo. Meli zaidi ya 75 zimezuiliwa na Ukraine yenyewe zisisogee maeneo hayo(meli za mizigo).
Suala la kuisafisha bandari na bahari lina endelea ingawa Odessa bado kabisa.

2.Urusi ina mamilioni ya Tani za ngano kuliko Ukraine na imezuia kusafirishwa nje ya nchi mpaka kuanzia mwezi juni au September baada ya mavuno tena. Urusi inasema inahakikisha usalama wa chakula wa watu wake kwanza.
Lakini imekataa kata kata ngano yake isiuzwe kwa mataifa adui.
Vikwazo walivyowekewa vinazuia makampuni mengi ya meli kusafirishwa bidhaa kutoka urusi kwenda nchi nyingine ila wametoa unafuu kwa meli zinazopeleka bidhaa Ulaya na Marekani tuu.. Eg gas, oil, nafaka na ngano. Urusi imekataa huo upuuzi ndio Maana inasema waondoe kwanza baadhi ya vikwazo ambavyo vinawatesa nchi maskini wasipate ahueni kutoka urusi Bali wao tuu.

Muhimu muhimu zaidi ni MBOLEA. DUNIA IKIWEMO MAREKANI WANATEGEMEA MBOLEA KUTOKA URUSI NA MISIMU YA KILIMO NDIO IMEANZA.. MEDVEDEV KASISITIZA MBOLEA YA URUSI INAYOTEGEMEWA DUNIA NZIMA HAITOTOKA KWENDA KWA NCHI ADUI KAMWE. NA AKASEMA HIZO NCHI BILA MBOLEA YA URUSI HAWAWEZI KULIMA AU KUZALISHA CHOCHOTE ZAIDI YA JUISI YA MAGUGU.

KUMBUKA TANZANIA TUNATEGEMEA MBOLEA YA URUSI PAMOJA NA NGANO KWA ZAIDI YA ASILIMIA 70.hatuna mgogoro na urusi ila Marekani na Ulaya wanaziwekea sana vizuizi na vipingamizi kampuni za usafirishaji zozote zinazotoa bidhaa kutoka urusi.
Source Fereke
 
Tunategemea Nato na kibaraka wao wanyooshwe sie fresh tu tutabugia mihogo
Kuweka Mambo Sawa TU

Kabla ya Vita,Ukraine ilikuwa na Tani Milioni 40 za Nafaka kwenye maghala yake ambayo yalitakiwa kusafirishwa kwenda Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini na Afrika Mashariki.

Baada ya Vita kuanza,Meli za mizigo zilishindwa kwenda kubeba Hizo Nafaka kutoka Ukraine na Sasa Zinaozea Ghalani. Urusi iliiba Tani Elfu 17 za Nafaka kutoka kwenye maeneo iliyoyateka Nchini Ukraine. Ndio maana unaona Njaa kwenye Mataifa ya Misri,Jordani,Sudani,Somalia,Djibout,Eriteria. Nchi Kama Misri ya Sudani zinategemea ngano kwa 90% kutoka Nchini Ukraine,Unategemea Nini?
 
Boris Bondarev, mwanadaplomasia mzoefu wa Russia katika ofisi za UN Genevea amejiuzulu katika kazi yake akiandika barua kali inayosema anaona aibu kuhusishwa na matendo nchi yake kwa sasa na hawezi kuwa sehemu ya kinchoendela. Pia ameandika Putin ameigeuza Russia kuwa igizo la hofu kuu.
 
kama ni suala la chakula basi utaumia wewe mwafrica, utanunua mkate na maandazi kwa 5,000 badala ya buku, achilia mbali mafuta ya Petrol na ya Kupikia. Achana kabisa na wazungu wewe jililie mwenyewe hapo ulipo.

Ungekuwa mwafrica una akili mwaka huu bajeti yako ya kilimo ingekuwa mara 10 zaidi, sababu kutakuwa na uhaba wa chakula duniani - na sisi maskini na watoto wetu ndiyo wataathirika zaidi.
 
Boris Bondarev, mwanadaplomasia mzoefu wa Russia katika ofisi za UN Genevea amejiuzulu katika kazi yake akiandika barua kali inayosema anaona aibu kuhusishwa na matendo nchi yake kwa sasa na hawezi kuwa sehemu ya kinchoendela. Pia ameandika Putin ameigeuza Russia kuwa igizo la hofu kuu.
Urusi ilionekana kama Taifa kiongozi kwa miongo ya hivi karibuni sambamba na US na wale G7. ila kwa sasa Putin kaiharibia Urusi haaminiki tena limekuwa taifa la hovyo limepoteza uongozi na kuwa tishio - huwezi kila siku unatishia kutumia neclear..
 
Kwa mtizamo wa wamagharibi.......ila upande wa pili kaja kua mkombozi dhidi ya dhuluma za mabepari
 
Back
Top Bottom