Waingereza walimsaidia , ili aivuruge nchi walimwona hamna kitu kichwaniNasikia Nyerere alinusurika kupinduliwa mara nane. ?
Waingereza walimsaidia , ili aivuruge nchi walimwona hamna kitu kichwaniNasikia Nyerere alinusurika kupinduliwa mara nane. ?
Hapo apatikane kichaa mmoja mzalendo aishambulie hiyo kijeshi au waasi wamtowe huyo mtu hicho kizazi cha Nguema kinastahili kufutwa kabisa katika huu uso wa dunia!!Navyohisi, nchi kama Equotorial Guinea tayari wananchi wameishayakanyaga kwa sababu katika miaka hiyo tayari familia ya Nguema imeishajenga mizizi kuanzia ngazi ya kijiji hadi taifa.
Hapa inawezekana nyazifa zote katika vyombo vyote vya ulinzi zimeshikiliwa na ndugu. Na hao ndugu ni mwendo wa kula bata.
Hivyo, kama mapinduzi yatatokea, moja kwa moja ndugu atakuwa amehusika. Je, huyo ndugu ataleta mabadiliko ikiwa amezaliwa ukoo ukiwa ni raisi na amekua akila bata nk, ndiyo maama nimesema Equotorial Guinea wameyakanyaga tayari.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
🤷🤷🤷🤷🤷🤷Nasikia kimenuka teare
afrika mashariki ni uganda na rwanda tu ndio wanaleta ushenzi wa kutawala milele wao na familia zao. Uganda tayari mzee ameonesha ushenzi kutaka amuachie mwanae pindi afya yake ikidorora the same as rwanda. Kwetu sisi tatizo liko kwenye sera za chama kikongwe kinachotakiwa ni kukipumzisha kitoke madarakani kwa amani kipishe chama kingine chenye maono mapya kwa njia ya sanduku la kura, kama hakitaki kuondoka kwa heshima basi wazee wa coup watajua la kufanyaWanakuja huko,Kisha Cameroon then Afrika ya Mashariki
Bora iwe hivyo kuliko tawala zakiraia zinazojikita na usheziIla jua pia kuwa huko kupinduana hakujaanza leo.Toka waanze kupinduana nini kimebadilika ?
Kwa usahihi Teodoro Nguema Obiang Mbasogo aliingia madarakani mwaka 1979, si 1969, kwa kumpindua mjomba'ke. Sasa ni mwaka wa 44 anatawala kidikteta na kifisadi.Hiki ndicho kituo nachotamani kifuate baada ya Gabon
Ni miongoni mwa nchi inayoongozwa na washenzi zaidi Africa na Duniani
Ni nchi inayoongozwa na familia ya mafedhuli, makatili,mafisadi, na watu wabaya sana ambayo ni Familia ya Tuedoro Nguema Obiyang
Sijawahi kuona taifa kama hili, taifa ambalo fedha za serikali zinawekwa kwenye akaunti za familia
Taifa ambalo wapo 1.4 milioni tu lakini wana mafuta gesi na madini halafu umasikini upo karibia 90% na watawala wapo tu
Ni nchi ambayo ina makamu wa Rais ni mtoto wa rais na ni mla bata Dunia nzima hakuna mtu fisadi kama huyu jamaa anayeitwa "Teddy Nguema"...Hata ukienda instagram ukiandika jina lake anakuja jamaa anajipost na bata tu na pesa za umma hadi maslay Queen wakibongo wakimfollow kwa wingi
Na nchi inayoongozwa na familia ya washenzi kikundi cha wahuni ambapo wameficha matrilioni ya pesa huko nje imagine familia ya Nguema kwa miaka mitano walifanya manunuzi ya kifahari ya karibia trilioni 5 hadi 7 za kitanzania huku wananchi wao wakifa kwa njaa
Tumezoea kuusikia ufisadi hata huku Tanganyika ni cha mtoto huko Equtorial Guinea ni balaa tupu
Jamaa wamekaa madarakani tokea mwaka wa 1969 tokea nchi yao ipate uhuru haijawahi ongozwa na mtu mwingine na hiyo hiyo familia tu
Mjomba alikua rais wa kwanza baadae mpwa akampindua mjomba wake mwaka wa 1969 na anatawala hadi leo na tv ya taifa iliwahi mtangaza kama Mungu!!
Equtorial Guinea mapinduzi natamani yawafikie kwa haraka sana, ikisha ifuate Cameroon na hili vuguvugu lije kuwatoa madikteta wa kieneo pia
Hakuna nchi ya ajabu kama Equtorial Guinea wananchi wa huku sijui wamewezaje kuvumilia hao mastrangers wanaowaongoza!!!
Familia ya Nguema wana utajiri wa karibia trilioni 100View attachment 2733931View attachment 2733932View attachment 2733933
Walimkuta mtu kavaa kijora cha china chenye mabaka mabaka wanasema ni sare yao.Wanajeshi wetu wapo busy KUTUTANDIKA MAKOFI sijui ni lini watapata Akili kama hawa wenzetu