kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,190
- 24,620
Hiki ndicho kituo nachotamani kifuate baada ya Gabon
Ni miongoni mwa nchi inayoongozwa na washenzi zaidi Africa na Duniani
Ni nchi inayoongozwa na familia ya mafedhuli, makatili,mafisadi, na watu wabaya sana ambayo ni Familia ya Tuedoro Nguema Obiyang
Sijawahi kuona taifa kama hili, taifa ambalo fedha za serikali zinawekwa kwenye akaunti za familia
Taifa ambalo wapo 1.4 milioni tu lakini wana mafuta gesi na madini halafu umasikini upo karibia 90% na watawala wapo tu
Ni nchi ambayo ina makamu wa Rais ni mtoto wa rais na ni mla bata Dunia nzima hakuna mtu fisadi kama huyu jamaa anayeitwa "Teddy Nguema"...Hata ukienda instagram ukiandika jina lake anakuja jamaa anajipost na bata tu na pesa za umma hadi maslay Queen wakibongo wakimfollow kwa wingi
Na nchi inayoongozwa na familia ya washenzi kikundi cha wahuni ambapo wameficha matrilioni ya pesa huko nje imagine familia ya Nguema kwa miaka mitano walifanya manunuzi ya kifahari ya karibia trilioni 5 hadi 7 za kitanzania huku wananchi wao wakifa kwa njaa
Tumezoea kuusikia ufisadi hata huku Tanganyika ni cha mtoto huko Equtorial Guinea ni balaa tupu
Jamaa wamekaa madarakani tokea mwaka wa 1969 tokea nchi yao ipate uhuru haijawahi ongozwa na mtu mwingine na hiyo hiyo familia tu
Mjomba alikua rais wa kwanza baadae mpwa akampindua mjomba wake mwaka wa 1969 na anatawala hadi leo na tv ya taifa iliwahi mtangaza kama Mungu!!
Equtorial Guinea mapinduzi natamani yawafikie kwa haraka sana, ikisha ifuate Cameroon na hili vuguvugu lije kuwatoa madikteta wa kieneo pia
Hakuna nchi ya ajabu kama Equtorial Guinea wananchi wa huku sijui wamewezaje kuvumilia hao mastrangers wanaowaongoza!!!
Familia ya Nguema wana utajiri wa karibia trilioni 100