Baada ya Gabon kituo kinachofuata Equtorial Guinea

Baada ya Gabon kituo kinachofuata Equtorial Guinea

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa anakula bata vibaya mno.
Katengeneza pepo yake hapa duniani[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
 
Ni nchi ambayo ina makamu wa Rais ni mtoto wa rais na ni mla bata Dunia nzima hakuna mtu fisadi kama huyu jamaa anayeitwa "Teddy Nguema"...Hata ukienda instagram ukiandika jina lake anakuja jamaa anajipost na bata tu na pesa za umma hadi maslay Queen wakibongo wakimfollow kwa wingi
Kama mambo yako hivi usitarajie ndoto yako kutimia.

Kinachofanyika hiyo famililia inakula sahani moja na walinda mizinga kambini.
 
Afrika kuna matatizo mengi sana kwakweli ambayo ni vigumu kuyatatua sababu demokrasia ambayo mie naiona ni upumbavu, ishafeli pakubwa sana.

Hizi coup d'etat zinazofanywa na wanajeshi zidi ya viongozi wabinafsi,mafisadi n.k, hazitokuja kutatua matatizo haya kamwe, kwani ni suala la mda tu watarudi kule kule.
Kwahiyo kwa uoni wako mfupi unataka.kusema Demokrasi la afrika.imefeli naomba unitajie Nchi gani Afrika iliwahi kuwa na demokrasia na hiyo demokrasia ikafeli kuleta matarajio ya wananchi?
 
Kumbe Tz tuna uafadhari aisee.
Wanapeana vyeo lakini walau keki inaliwa na koo nyingi. Karibu kila mahali kuna wala keki tofauti.

Sasa huyo mwamba anavaa kama Rambo na ni makamu wa raisi 😀😀😀, anakula bata na anapost insta kabisa.

Tz ni waoga wa maandamo ila trust me ikifika stage kiongozi anafanya hivyo hakyanani hamalizi mwezi.
 
Lakini Waafrika sisi aisee dah.....nimeshindwa kujua kama nicheke au nilie!

Kweli kama tulilogwa basi huyo aliyetuloga ilibidi hata aiuwe tu asili yetu maana tunafanyaga vitu fulani vya kipekee halafu vya kishenzi sana.
Waafrika ni incomplete human beings.

Labda kama Evolution ina endelea waafrika wanaweza kubadilika na kufikia hatua ya kuitwa binadamu kamili.

Ila kwa sasa mwafrika si binadamu kamili.

Balozi wa Romania nchini Kenya alikuwa sahihi kuwafananisha waafrika na Tumbili.
 
Kwahiyo kwa uoni wako mfupi unataka.kusema Demokrasi la afrika.imefeli naomba unitajie Nchi gani Afrika iliwahi kuwa na demokrasia na hiyo demokrasia ikafeli kuleta matarajio ya wananchi?
Wew ni mjinga sana, sababu umeniquote kwa dharau ulivyosema (ety kwa uono wangu mfupi), hua sipotezi mda wangu kujibu maboya kama wew.
 
Uhuwenda museveni akapinduliwa na kijana ake mwenyewe
Yes, na inaweza isiwe kijana wake, ila nachelea kuhisi hawezi pindua2027 mabeberu watakua wameshamuondoa ili kusudi pia kumdhibiti kijana wake ambae wengi wanahofia inaweza kuchukua muda mrefu tena kumuondoa huyo kijana wake akifanikiwa kutwaa mamlaka.
 
Kumbe Tz tuna uafadhari aisee.
Wanapeana vyeo lakini walau keki inaliwa na koo nyingi. Karibu kila mahali kuna wala keki tofauti.

Sasa huyo mwamba anavaa kama Rambo na ni makamu wa raisi 😀😀😀, anakula bata na anapost insta kabisa.

Tz ni waoga wa maandamo ila trust me ikifika stage kiongozi anafanya hivyo hakyanani hamalizi mwezi.
😆😆😆Jamaa amekuudhi sana.
 
Back
Top Bottom