Kolimba Jr
Member
- Nov 24, 2014
- 83
- 68
Baada ya kubainika kuwa waziri mkuu Pinda alilengwa kuchafuliwa na mahasimu wake wa kisiasa ili kuchafuliwa kuipitia sakata la ESCROW, na hatimaye ukweli kubainika kuwa hakuna ushahidi wowote wa kumuhusisha na jambo hilo, natabiri kuwa nyota ya PINDA itang'aa zaidi baada ya sakata hili kuelekea 2015. Sababu ni hizi zifuatazo:-
-Imedhihirika kuwa Pinda alikuwa anahujumiwa na kufitiniwa
-Wapinzani wake wamepata pigo kubwa baada ya kushindwa vita hii
-Pinda amewavutia wengi kujua kwanini apigwe vita na hivyo atapata sympathy ya wananchi
-Pinda amedhihirishia uwezo wa kuongoza serikali katika kipindi kigumu, cha crisis, tena Rais akiwa hayupo nchini
-Pinda amepimwa uwezo wake wa kuamua mambo bila jazba wala papara
-Pinda atapata ari na nguvu kubwa ya kusonga mbele baada ya escrow
-Timu ya Pinda sasa itakuwa na ari kubwa ya mapambano