Baada ya Escrow, nyota ya Pinda itang'aa zaidi kisiasa kuelekea 2015

Kolimba Jr

Member
Nov 24, 2014
83
68
Baada ya kubainika kuwa waziri mkuu Pinda alilengwa kuchafuliwa na mahasimu wake wa kisiasa ili kuchafuliwa kuipitia sakata la ESCROW, na hatimaye ukweli kubainika kuwa hakuna ushahidi wowote wa kumuhusisha na jambo hilo, natabiri kuwa nyota ya PINDA itang'aa zaidi baada ya sakata hili kuelekea 2015. Sababu ni hizi zifuatazo:-

-Imedhihirika kuwa Pinda alikuwa anahujumiwa na kufitiniwa
-Wapinzani wake wamepata pigo kubwa baada ya kushindwa vita hii
-Pinda amewavutia wengi kujua kwanini apigwe vita na hivyo atapata sympathy ya wananchi
-Pinda amedhihirishia uwezo wa kuongoza serikali katika kipindi kigumu, cha crisis, tena Rais akiwa hayupo nchini
-Pinda amepimwa uwezo wake wa kuamua mambo bila jazba wala papara
-Pinda atapata ari na nguvu kubwa ya kusonga mbele baada ya escrow
-Timu ya Pinda sasa itakuwa na ari kubwa ya mapambano
 
Mimi siyo mpenzi wa Pinda wala Lowassa lkn katika hali halisi, hii issue itamjenga zaidi a Lowassa. Kambi ya lowassa sasa hivi itakuwa na points muhimu za kuonyesha kuwa Lowassa alionewa na kufanyiwa fitina.
Kinachoendelea sasa hivi Dodoma kwa mtu mwenye akili anaelewa kabisa kuwa kuna nguvu kubwa za kudanganya taifa kuwasafisha wahusika.
 
Mafisadi walijipanga kweli dhidi ya pinda lakini wameshindwa labda wamroge lakini kwa hoja wamekwama.
 
Mimi siyo mpenzi wa Pinda wala Lowassa lkn katika hali halisi, hii issue itamjenga zaidi a Lowassa. Kambi ya lowassa sasa hivi itakuwa na points muhimu za kuonyesha kuwa Lowassa alionewa na kufanyiwa fitina.
Kinachoendelea sasa hivi Dodoma kwa mtu mwenye akili anaelewa kabisa kuwa kuna nguvu kubwa za kudanganya taifa kuwasafisha wahusika.
Hakuna ujualo kwenye hii sakata akili yako itakuwa imepotoshwa na zitto halafu ikapotoka utabaki hivyo hivyo.
 
Baada ya kubainika kuwa waziri mkuu Pinda alilengwa kuchafuliwa na mahasimu wake wa kisiasa ili kuchafuliwa kuipitia sakata la ESCROW, na hatimaye ukweli kubainika kuwa hakuna ushahidi wowote wa kumuhusisha na jambo hilo, natabiri kuwa nyota ya PINDA itang'aa zaidi baada ya sakata hili kuelekea 2015. Sababu ni hizi zifuatazo:-

-Imedhihirika kuwa Pinda alikuwa anahujumiwa na kufitiniwa
-Wapinzani wake wamepata pigo kubwa baada ya kushindwa vita hii
-Pinda amewavutia wengi kujua kwanini apigwe vita na hivyo atapata sympathy ya wananchi
-Pinda amedhihirishia uwezo wa kuongoza serikali katika kipindi kigumu, cha crisis, tena Rais akiwa hayupo nchini
-Pinda amepimwa uwezo wake wa kuamua mambo bila jazba wala papara
-Pinda atapata ari na nguvu kubwa ya kusonga mbele baada ya escrow
-Timu ya Pinda sasa itakuwa na ari kubwa ya mapambano
Endelea kumdanganya, wkati saizi kila sehemu ukipita anajulikana ni mwizi.......Pinda na Singa Singa ni wezi namba 8 Duniani, according to Kafulila
 
Hata mimi nimeshawishika kuamini kuwa Pinda ana kitu anachowazidi wenzie. Pinda papara hakuwa nazo kama Lowassa, wala hakukimbilia kujiuzulu. Huo ndio ukomavu na uongozi. Kiongozi hutakiwi kuwa mtu wa kukurupuka tu, inamaana kesho huyu Lowassa akiwa Rais wetu akishutumiwa kidogo anaweza kujiuzulu. Hii inaweza kuingiza nchi kwenye matatizo
 
Baada ya kubainika kuwa waziri mkuu Pinda alilengwa kuchafuliwa na mahasimu wake wa kisiasa ili kuchafuliwa kuipitia sakata la ESCROW, na hatimaye ukweli kubainika kuwa hakuna ushahidi wowote wa kumuhusisha na jambo hilo, natabiri kuwa nyota ya PINDA itang'aa zaidi baada ya sakata hili kuelekea 2015. Sababu ni hizi zifuatazo:-

-Imedhihirika kuwa Pinda alikuwa anahujumiwa na kufitiniwa
-Wapinzani wake wamepata pigo kubwa baada ya kushindwa vita hii
-Pinda amewavutia wengi kujua kwanini apigwe vita na hivyo atapata sympathy ya wananchi
-Pinda amedhihirishia uwezo wa kuongoza serikali katika kipindi kigumu, cha crisis, tena Rais akiwa hayupo nchini
-Pinda amepimwa uwezo wake wa kuamua mambo bila jazba wala papara
-Pinda atapata ari na nguvu kubwa ya kusonga mbele baada ya escrow
-Timu ya Pinda sasa itakuwa na ari kubwa ya mapambano

Mbona watanzani tunakuwa wapumbavu hivi? Inakuwaje huoni udhaifu wa waziri mkuu wakati watendaji wake wameharibu? Inasikitisha sana huu upofu na uchama ndio unaoturudisha nyuma! Inasikitisha kabisa!
 
Huyo mleta uzi mpumbavu sana anataka kutufanya watanzania ni wajinga kiasi hicho, never on earth
 
Hakuna ujualo kwenye hii sakata akili yako itakuwa imepotoshwa na zitto halafu ikapotoka utabaki hivyo hivyo.

Haya wewe mkuu mwenye kujua, tueleze Vizuri sababu za kufunguliwa Escrow account zilikuwa zipi. Na km unajua je Hilo tatizo lililopelekea kufungulia Escrow account limetatuliwa? Ukiwa na majibu hayo ndo ujipime km wewe ni mwelewa au ni pimbi tu.
 
Sisi wananchi tunataka kiongozi makini katika kuamua, sio mkurupukaji, Mungu atamuongoza Pinda kama alivyomuongoza Musa na wana wa Israel kutoka kwenye utumwa na mateso ya Farao. Mungu ni Mungu wa haki, bwana wa majeshi.
 
Back
Top Bottom