Mamlaka zipo za kufanya kazi hiyo sisi tutapiga kelele tu.
Kama aipa mbele ya Rais kuwa Mkuu wa Mkoa baada ya Rais kuthibitishiwa na wataalam wake kuwa anaweza kushika nafasi ya mkuu wa mkoa wa Dar mimi na wewe zaidi wataalam wa Ikulu tunao waamini
Na kama Rais wa awamu ya Nne alithibitishiwa na wataalam wake wa Ikulu tunaowaamini wakati anateuliwa kuwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni wewe na mimi ni nani wa kusema hayo.
Ina maana Mh Makonda ni zaidi ya Rais Magufuli au Rais mstaafu Kikwete mpaka aweze kujika kiasi hicho kwa wataalam wa Rais tunaowakubali mimi sidhani kama ni kweli katika hilo.
Mkuu:
Kwani haijawahi kutokea ktk. awamu hii mtu ana teuliwa halafu anatenguliwa. Sababu kubwa ni uteuzi umefanywa kimakosa.