Baada ya dhiki ni faraja; vimbwanga vya wauza korosho baada ya mauzo lindi na mtwara

Wewe mtoa mada ni muongo mkubwa hayo unayosema ni hadithi za kusimuliwa tena ni uzushi unaoenezwa juu ya watu wa kusini ili waonekane ni wajinga.....
Sijawahi kusikia kashfa za kijinga kama hizi kwa wakulima wa kahawa,tumbaku,alizeti,mahindi na pamba isipokuwa korosho tuu,ebu waacheni wakulima wafanye maisha yao
Unachobisha nini sasa tumekaa huko mtwara miaka 8 hayo yote yanajulikana
 
Wewe mtoa mada ni muongo mkubwa hayo unayosema ni hadithi za kusimuliwa tena ni uzushi unaoenezwa juu ya watu wa kusini ili waonekane ni wajinga.....
Sijawahi kusikia kashfa za kijinga kama hizi kwa wakulima wa kahawa,tumbaku,alizeti,mahindi na pamba isipokuwa korosho tuu,ebu waacheni wakulima wafanye maisha yao
Wakulima wote wa kahawa wakipata pesa wanakimbia kilipa karo za watoto wao na kujenga nyumba imara ndo maana wakulima hao wa Kili, Kagera, Mbeya, Lushoto na sehemu nyingine zinazozalisha hilo zao wameendelea kwa kila kitu.
 
Wakuu hili la warembo kuongezeka kwa ghafla lipo. Sio Mtwara mjini tu. Nenda Tandahimba, Newala, Nanyamba, Masasi, Mangaka na miji midogomidogo miingi tu utawakuta warembo wamekaa kimitego kwelikweli. Naona nao wamekuja kusaidia kuvuna korosho!
 
N

Na wakimaliza kuvuna wanaondoka taratibu kurudi makwao
 
Sasa miaka 8 hujaona fursa?sasa hivi si ungekuwa unazalisha tani 20 then unapokea mil 60.We we ni walewale wanaoanza Julia wivu baada ya kusikia wakulima wanakinga mkwanja.
Aliyekuambia nilienda kulima korosho nani na una uhakika gani sikutumia fursa?mwenzio niliwekeza malengo ya lipo tumia nikarudi zangu mwanza kuendesha shughuli zangu
 
Waoe hata wahonge, cha msingi pesa imebaki kwenye mzunguko nchini.
Tatizo LA watu hawataki kuendana na wakati zaidi wanaanza kulia lia kuhusu pesa za wakulima.Watumishi lazima tubadilike LA sivyo kila Mwaka tutashuhudia wakulima wa kahawa,pamba ,kakao,korosho wanakinga mamilioni huku sisi tukipiga kelele za increment.
 
Ahahah,,nimecheka hapo MABASI ya buti la zungu na MANING NICE yanashusha warembo kwa wingi tokea Daresalaam ili kuhakikisha wakulima wanarudi mashambani haraka,, haahah,, kwaiyo wawapune fedha zote ili wawai mashambani
 
Hapa
Wakuu hili la warembo kuongezeka kwa ghafla lipo. Sio Mtwara mjini tu. Nenda Tandahimba, Newala, Nanyamba, Masasi, Mangaka na miji midogomidogo miingi tu utawakuta warembo wamekaa kimitego kwelikweli. Naona nao wamekuja kusaidia kuvuna korosho!
Hapa dar kila kona warembo wanajiuza vipi na wao wanawasaidia wakazi wa dar kuvuna korosho???
 
Aliyekuambia nilienda kulima korosho nani na una uhakika gani sikutumia fursa?mwenzio niliwekeza malengo ya lipo tumia nikarudi zangu mwanza kuendesha shughuli zangu
Kama uko mwanza,Serikali imeshaanza kugawa mbegu za pamba kwa wakulima.Hivyo hakikisha na wewe unapata ili payroll za wakulima wa pamba zikianza kutoka na wewe uwemo.Wenzio ukija kwenye korosho wamo,kahawa wamo huko mbinga,pamba wanalima huko simiyu,uvuvi wanamiliki boti huko mwanza na biashara wanafanya.Sasa jiulize MTU kama uyo anakinga kiasi gani?
 
Nani akalime pamba hii hii ambayo ilifanyiwa hujuma miaka ya 2003'? Acha tupambane na shughuli zingine kilimo tuwaachie wenyewe
 
Back
Top Bottom