Baada ya dalili ya vikwazo wanaomba wananchi tuwasaidie

Baada ya dalili ya vikwazo wanaomba wananchi tuwasaidie

Eti wanaomba wananchi tusimame upande wao kwenye hiyo vita ya MABEBERU

Wamesahau watu wanaowapiga virungu na mabomu ya machozi ndio hao hao (wananchi).

Wanaowatekwa na kupotezwa ndio hao hao (wananchi)

Wanaoporwa korosho ndio hao hao (wananchi)

Wanaowekwa mahabusu kwa matakwa ya mtu ndio hao hao ( wananchi)

Na mengine mengi...

Mimi kama mmoja wa wanachi nitasimama upande wa wanaowaita MABEBERU mpaka hao mbuzi jike washike ujauzito.
Watu sasa naona mmeamka
 
Hivi huyo Jiwe amesahau alivyokuwa "akiropoka" pale alipokuwa akifungua maktaba mpya ya Chuo kikuu cha Dar, kuwa viongozi wa Chadema wataozea jela??

Na naona moyo wake umekuwa mweupe, baada ya mahakama "kutii" agizo lake na kuwafanya akina Mbowe waendelee kuozea jela!

Hivi anajua kuwa Chadema wana mtaji wa kura zaidi ya milioni 6 ya Urais??

(Kwa mujibu wa matokeo yaliyotolewa na NEC mwaka 2015)

Sasa iweje viongozi wa Chadema wanyanyasike kiasi hiki na sisi washabiki wake tuendelee tu kuangalia??

Nami nitajiunga na hao wanaoitwa mabeberu na CCM, kuwa ni bora misaada ikatwe ili tuanze kushika adabu!
Ubarikiwe sana
 
serikali ikisema inawaomba wananchi waiunge mkono, tambua inawaomba wananchi wote ambao ni zaidi ya 50 milion

Jf tupo chini ya laki tano na nakuhakikishia tunaoiunga mkono serikali dhidi ya hao mbwa wenu wa kizungu tuko wengi

so wewe simama huko huko kwa bwana zako halafu subiri kitakachotokea

for your information unakumbuka matukio ya MKIRU?

Umeshajiuliza kwanini BBC na gazeti la mwananchi ndio walikua wa kwanza kupata taarifa za kila tukio linapotokea?

unapaswa ujue hii nchi imeshaingiliwa na hao bwana zako na ikashinda.
Heri kuwa na bwana Mzungu anayetetea uhai kuliko Mkoloni mweusi mwenye roho ya kutu anayeua wenzake kwa manyanyaso kwa hoja za kishamba tu.
 
Long essay but with no content. Go to your bible again, and see if what you refer is the only sin people who commit were stoned to death. What about fonication which I believe many of you, commit.

Why don't we stone to death wazinzi? How many would save from the punishment?

Ufilaji kama ilivyo uwongo, uzinzi, uasherati, kuabudu sanamu, kuabudu miungu, ulevi and the like, all are sins. We do not advocate or praise them but we do not harass those who commit.

Halafu kuna upotoshaji wa kijinga kabisa. Azimio la EU halusema tuukubali ushoga bali wanatutaka tusiwadhalilishe. Na mimi kama mkristo, nawaunga mkono EU, hatutakiwi kuwadhalilisha.
No content? Sasa wewe unajenga hoja dhidi ya nini ndugu kama hamna content? I don’t disagree with you about what’s in the bible though. Hatahivyo, lengo la mwandishi( sio mimi), ni kwetu waafrika kulinda maadili yetu na kuelewa consequences za kukubali culture ya wengine iwe imposed kwetu kwa gharama ya misaada.
 
Mkuu,hao mbuzi jike watakaoshika adabu ni watanzania wote hususani sisi wananchi wa kawaida wakati mtukufu na kundi lake wakila maisha.Huu muziki hauhitaji hasira,bali hekima na busara kubwa kitu ambacho ni tatizo kubwa kwa tuliowaamini.
Ale bata? Thubutu tutamburuza kama Gaddafi tu.
 
Akafilie mbali...nipo na mabeberu.....alipokuwa anavunjia watu nyumba za kimara hakujua ni wananchi wake kunasiku atawaitaji???kwendraaaa zake....
 
serikali ikisema inawaomba wananchi waiunge mkono, tambua inawaomba wananchi wote ambao ni zaidi ya 50 milion

Jf tupo chini ya laki tano na nakuhakikishia tunaoiunga mkono serikali dhidi ya hao mbwa wenu wa kizungu tuko wengi

so wewe simama huko huko kwa bwana zako halafu subiri kitakachotokea

for your information unakumbuka matukio ya MKIRU?

Umeshajiuliza kwanini BBC na gazeti la mwananchi ndio walikua wa kwanza kupata taarifa za kila tukio linapotokea?

unapaswa ujue hii nchi imeshaingiliwa na hao bwana zako na ikashinda.
Anziasha kura hapa uone kati ya jiwe na beberu
 
Wewe ni kibaraka ,hebu tuambie utapata faida gani kama tukiwekewa vikwazo. kumbuka wadogo zako,watoto wako na hata mama zako pia wataathirika na vikwazo hivyo
Naweyee ni kibaraka wa jiwe maana unanufaika naye lasivyo ungekuwa umefanyiwa ukatili na awamu hii usingeposti upupu....
 
Wajibebe.Hii ndio kawaida ya waovu..waonapo anguko lao hujifanya kuwa wema machoni pa wateswa wao.
 
Eti wanaomba wananchi tusimame upande wao kwenye hiyo vita ya MABEBERU

Wamesahau watu wanaowapiga virungu na mabomu ya machozi ndio hao hao (wananchi).

Wanaowatekwa na kupotezwa ndio hao hao (wananchi)

Wanaoporwa korosho ndio hao hao (wananchi)

Wanaowekwa mahabusu kwa matakwa ya mtu ndio hao hao ( wananchi)

Na mengine mengi...

Mimi kama mmoja wa wanachi nitasimama upande wa wanaowaita MABEBERU mpaka hao mbuzi jike washike ujauzito.
Wanazani tanzania ni wajinga kiasi kwamba hawajui anaye tetea masilahi yao na anaye wanyanyasa Lama watumwa kwenye nchi yao. Kweli mtu akikuzarau anaweza hata kukutuma ukamletee mkeo alale Naye
 
Hivi kweli wakati kiongozi mkubwa wa upinzani anaozea jela kwa raha za kiongozi wa nchi huku ikijulikana wazi kuwa wauaji wa Aquiline Ni polisi walioamuliwa na mkuu huyo, halafu akijitokeza mtu kumkemea, niache kumuunga mtu huyo mkono kweli!!!?
Wakati Mhe. Lisu akihangaika Ubeligiji kutibu majeraha huku kiongozi mkuu wa nchi akiona Ni burudani kwake kukataa kutoa fedha za matibu ambazo Ni haki, halafu akitokea mkaripiaji nisimuunge mkono, kweli!!!?
Wakati watu wakitoweka wasijulikane walipo na kiongozi mkuu wa nchi aliyeapa kuwalinda wananchi anaonyesha tabasamu na bashasha, nawezaje kumuunga mkono nimuache mtetezi eti kwa kuwa ni Mzungu!!!
Yako mengi, EU, US kaza buti.
 
Mbwa mzima kakutana na mbwa kichaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ni kibaraka ,hebu tuambie utapata faida gani kama tukiwekewa vikwazo. kumbuka wadogo zako,watoto wako na hata mama zako pia wataathirika na vikwazo hivyo

Hata sasa hivi huoni kama tunaathirika? Sasa bora dhahama tuipate wote
 
Back
Top Bottom