Baada ya chuo ningepata kibarua, malipo!

Yani kazi jana leo umeanza kulalamika?

Kula hiyo buku tano mengine yatajiset kinavyoenda.
Kwanza ulikataa mshahara wa 500k leo buku tano umeikubali ila siku moja tu ushaandika uzi mrefu km nini....

Dogo umemaliza 2025 na huna uvumilivu. Wewe huu mtaa bado haujakunyoosha vyema...
 
kaza kijan 5k unaona ndogo kuchezea komputa tu wakat wenzio mtaan wanaitafuta kwa sport light mchana wa saa 7


tafut kaz nyingne , ukiacha kaz kitakulamba
 
Kesho NITAENDA KAMA NILIVYOFANYA LEO JIONI IKIFIKA ATANIPA CHANGU THEN NTAKABIDHI OFISI KWA AMANI KAMA NILIVYOANZA KWA AMANI 🙏🙏🔒
 
kaza kijan 5k unaona ndogo kuchezea komputa tu wakat wenzio mtaan wanaitafuta kwa sport light mchana wa saa 7


tafut kaz nyingne , ukiacha kaz kitakulamba
Kazi naacha mkuu
 
Mkuu hizo ni text za kitambo sana, kuhusu mashairi tu aaah😀😀🙌🙌🙌
Ni kweli kuna maneno kuchukua ai then kaongeza na yake
Hapo nipo na Smartphone yangu ya kwanza kununua
 

Attachments

  • Messenger_creation_172319480794393 (1).jpeg
    244.9 KB · Views: 12
  • Messenger_creation_705968570151602 (1).jpeg
    97.1 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…