Baada ya CEO Senzo kumaliza Biashara Kesho Rivers United FC anafungwa ama 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na Wanunuaji FC

Kwa mechi ya leo kufikia matokeo ya kuridhisha ni mlima mrefu(Kilimanjaro),na kina kirefu cha maji(Zanzibar)
Ni kujiandaa kisaikolojia tu,matokeo ni dakika 90.
 
Unadhani Rivers hawataki kuchukua kombe?!!.. Unadhani Rivers ni Masikini namna hiyo?!!..
 
Hahahaaaa
 
Mcheke au Mnidhihaki mtakavyo ninachojua tu Mightier ni kwamba Yanga SC Kafungwa na ndicho nilichotaka Kukisikia na ndiyo Furaha yangu nje ya hapo ilikuwa ni Tomato Sauce na Kachumbari nzuri katika Chips Yai zilizokaangwa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…