Baada ya CEO Senzo kumaliza Biashara Kesho Rivers United FC anafungwa ama 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na Wanunuaji FC

Kwa mechi ya leo kufikia matokeo ya kuridhisha ni mlima mrefu(Kilimanjaro),na kina kirefu cha maji(Zanzibar)
Ni kujiandaa kisaikolojia tu,matokeo ni dakika 90.
 
Mnaobeti Kazi ni Kwenu tu kwani Senzo Mbatha Mazingisa kwa Maagizo ya Wadhamini Wakuu wa Klabu MSG wameshamalizana Kimjini Mjini na Rivers United FC na Kesho wanafungwa ama 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na hatimaye Wanunuaji FC kutoka Jangwani na Twiga wanasonga mbele.

Shilingi Bilioni 2 za Tanzania zimemaliza Kazi na Kesho Wanunuaji FC wanapindua Meza Kiulaini na tutawakoma.
Unadhani Rivers hawataki kuchukua kombe?!!.. Unadhani Rivers ni Masikini namna hiyo?!!..
 
Mnaobeti Kazi ni Kwenu tu kwani Senzo Mbatha Mazingisa kwa Maagizo ya Wadhamini Wakuu wa Klabu MSG wameshamalizana Kimjini Mjini na Rivers United FC na Kesho wanafungwa ama 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na hatimaye Wanunuaji FC kutoka Jangwani na Twiga wanasonga mbele.

Shilingi Bilioni 2 za Tanzania zimemaliza Kazi na Kesho Wanunuaji FC wanapindua Meza Kiulaini na tutawakoma.
Hahahaaaa
 
Mcheke au Mnidhihaki mtakavyo ninachojua tu Mightier ni kwamba Yanga SC Kafungwa na ndicho nilichotaka Kukisikia na ndiyo Furaha yangu nje ya hapo ilikuwa ni Tomato Sauce na Kachumbari nzuri katika Chips Yai zilizokaangwa vizuri
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom