Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
- Thread starter
- #41
Kamanda jenga hojaHii ni 2020 hivyo jaribu kidogo Kupunguza Upopoma wako Uliokutukuka tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda jenga hojaHii ni 2020 hivyo jaribu kidogo Kupunguza Upopoma wako Uliokutukuka tafadhali.
Jenga hoja acha kuwewesekaNyie endeleeni kuifisadi nchi halafu mnaleta ngonjera hewa. Nyambafu kabisa
Jenga hojaMA CCM NI WEHU ,WENDA WAZIMU, MA TAAHIRA,VICHAA WANA IZAYA,MA HAYAWANI,LAANA MA SHETANI, MAFISADI ,WEZI,WA BAGUZI,WA CHAWI ,WAUWAJI NA UCHAFU WA AINA ZOTE
Nje ya mada, jikite kwenye hoja kamandaYEHODAYA, Achaneni na ya Chadema, vipi Membe na wale wastaafu mmeshamalizana nao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jenga hoja kamanda acha kuwewesekaIla huyu na post zake za kidaku anaheshimiwa sana na mods, ukipingana naye unakula ban ya kufa mtu, nilimkrashi na mada zake za.kipuuzi nikapigwa ban ya miezi miwili ndiyo nimetoka kifungoni leo na najua kinachofuata ni life ban. Mods wanalea sana nyuzi zinazokaribisha malumbano yasiyokuwa na tija ili mradi ziko in favour of CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jikite kwenye hoja kamandaMkuu ungezungumzia issue ya Kangi Lugola ungeeleweka,kwanini Kangi anazurula na ILANI ya CCM .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mnataka muwapangie chadema viongozi?Lumumba mbona mmechanganyikiwa?Kama mnamtaka awe kiongozi wenu jaribuni kumsajili!Chadema ukweli nawashangaa Silinde kwa Nini hapewi nafasi kubwa.Yule Ni mwanasheria ukatibu mkuu ungemfaa au unadhimu bungeni .Yuko vizuri kweli.kweli kichwani
Mleta mada uko sahihi chadema bunge likivunjwa tu kinasambaratika.Wabunge na marieani wengi kwa Dada wanasubiri tu kuvunjwa waachane na chadema
Mimi binafsi hata CCM wakitaka kumchukua mtu chadema wa kwanza ningependa wamchukue Silinde
Ndugu zangu,
Tulionya tukapuuzwa,kipindi cha uchaguzi viongozi wa kanda Mbowe alijitahidi kupachika watu wake ambao si chaguo la wanachama ili kulinda maslahi yake ndani ya chama.Alifanya hivyo kumpachika Esther dhidi ya Heche,Lema dhidi ya Selasini,Mesi dhidi ya Mwambe na akasambaratisha wote waliogombea dhidi ya Msigwa.
Zaidi ya kupachika watu wake kwenye kanda na majimbo pia wafuasi wengi Chadema walitamani Dr.Albanie awe katibu mkuu badala ya Mnyika;Wengi hawajaridhika kwa uteuzi wa Mnyika wanasubiri dakika ifike wabwage manyanga na kutema nyongo zao.
Siku chache zilizopita katibua wabunge wa Chadema bungeni baada ya kumpachika Esther Bulaya unadhimu kambi ya upinzani huku akiwaacha "makamanda" kama Heche,Silinde,nk ambao ni wakongwe.
Tusubiri muda ufike ila naona wakigawana mbao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa gereshaSasa mbona kwenye kikao cha chadema Mbowe alisema nani apewe unadhim na hao wengine wote walisema apewe bulaya?
Watu wengi wa JF Mnaongea mambo bila kujua undani Yan hamna data mnahemuka tu
Sasa huyo bulaya alichaguliwa na hao wote uliowataja hapo juu
Mkuu propaganda zako ziko weak Sana,inabidi tukurudishe kivukoni tukakupike upya
Chadema ukweli nawashangaa Silinde kwa Nini hapewi nafasi kubwa.Yule Ni mwanasheria ukatibu mkuu ungemfaa au unadhimu bungeni .Yuko vizuri kweli.kweli kichwani
Mleta mada uko sahihi chadema bunge likivunjwa tu kinasambaratika.Wabunge na marieani wengi kwa Dada wanasubiri tu kuvunjwa waachane na chadema
Mimi binafsi hata CCM wakitaka kumchukua mtu chadema wa kwanza ningependa wamchukue Silinde
Bi mdashi, hii kazi uliyopewa ya kupiga chabo cdm kila uchwao unaelekea kushinda na huenda ikawa task yako ya mwisho hapo lumumba! Yaani ukilala, ukiamka ni cdm tu huna lingine kichwani? Ukiwa mjenzi wa hoja Basi be critical and not bias! Mbona unaukatili ubongo wako pale unapokuongoza kuitafakari Safari ya ccm kuwa haipo salama? Unamuachia Nani aishauri ccm? Unajisahaulisha sana na kujiaminisha kuwa huko ccm ni salama na hakuhitaji msaada wowote!Ndugu zangu,
Tulionya tukapuuzwa,kipindi cha uchaguzi viongozi wa kanda Mbowe alijitahidi kupachika watu wake ambao si chaguo la wanachama ili kulinda maslahi yake ndani ya chama.Alifanya hivyo kumpachika Esther dhidi ya Heche,Lema dhidi ya Selasini,Mesi dhidi ya Mwambe na akasambaratisha wote waliogombea dhidi ya Msigwa.
Zaidi ya kupachika watu wake kwenye kanda na majimbo pia wafuasi wengi Chadema walitamani Dr.Albanie awe katibu mkuu badala ya Mnyika;Wengi hawajaridhika kwa uteuzi wa Mnyika wanasubiri dakika ifike wabwage manyanga na kutema nyongo zao.
Siku chache zilizopita katibua wabunge wa Chadema bungeni baada ya kumpachika Esther Bulaya unadhimu kambi ya upinzani huku akiwaacha "makamanda" kama Heche,Silinde,nk ambao ni wakongwe.
Tusubiri muda ufike ila naona wakigawana mbao
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise mimi pia yalinikuta kwa huyuIla huyu na post zake za kidaku anaheshimiwa sana na mods, ukipingana naye unakula ban ya kufa mtu, nilimkrashi na mada zake za.kipuuzi nikapigwa ban ya miezi miwili ndiyo nimetoka kifungoni leo na najua kinachofuata ni life ban. Mods wanalea sana nyuzi zinazokaribisha malumbano yasiyokuwa na tija ili mradi ziko in favour of CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi walitabiri lakin cdm ipo, vipi kuhusu huko kijanini kupo shwari?Ndugu zangu,
Tulionya tukapuuzwa,kipindi cha uchaguzi viongozi wa kanda Mbowe alijitahidi kupachika watu wake ambao si chaguo la wanachama ili kulinda maslahi yake ndani ya chama.Alifanya hivyo kumpachika Esther dhidi ya Heche,Lema dhidi ya Selasini,Mesi dhidi ya Mwambe na akasambaratisha wote waliogombea dhidi ya Msigwa.
Zaidi ya kupachika watu wake kwenye kanda na majimbo pia wafuasi wengi Chadema walitamani Dr.Albanie awe katibu mkuu badala ya Mnyika;Wengi hawajaridhika kwa uteuzi wa Mnyika wanasubiri dakika ifike wabwage manyanga na kutema nyongo zao.
Siku chache zilizopita katibua wabunge wa Chadema bungeni baada ya kumpachika Esther Bulaya unadhimu kambi ya upinzani huku akiwaacha "makamanda" kama Heche,Silinde,nk ambao ni wakongwe.
Tusubiri muda ufike ila naona wakigawana mbao
Sent using Jamii Forums mobile app
DAWA IME KUINGIA VIZURI. UCHAGUZI UNAKUJA MME ANZA KULO GANA SOON TUTASIKIA FLANI KAFA KWA CAR ACCIDENT MARA FLANI AME KUFA WA HELICOPTER CRASH AKIWA KWA CAMPAIGN. MARA FLANI AMEPATA HEART ATTACK AKAFA. CCM NI KIKUNDI CHA UOVU
JF iko chini ya wizara yake.Ila huyu na post zake za kidaku anaheshimiwa sana na mods, ukipingana naye unakula ban ya kufa mtu, nilimkrashi na mada zake za.kipuuzi nikapigwa ban ya miezi miwili ndiyo nimetoka kifungoni leo na najua kinachofuata ni life ban. Mods wanalea sana nyuzi zinazokaribisha malumbano yasiyokuwa na tija ili mradi ziko in favour of CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jenga tu hoja acha mapovu!