Baada ya Bunge kuvunjwa CHADEMA kusambaratika

Baada ya Bunge kuvunjwa CHADEMA kusambaratika

Ndugu zangu,

Tulionya tukapuuzwa,kipindi cha uchaguzi viongozi wa kanda Mbowe alijitahidi kupachika watu wake ambao si chaguo la wanachama ili kulinda maslahi yake ndani ya chama.Alifanya hivyo kumpachika Esther dhidi ya Heche,Lema dhidi ya Selasini,Mesi dhidi ya Mwambe na akasambaratisha wote waliogombea dhidi ya Msigwa.

Zaidi ya kupachika watu wake kwenye kanda na majimbo pia wafuasi wengi Chadema walitamani Dr.Albanie awe katibu mkuu badala ya Mnyika;Wengi hawajaridhika kwa uteuzi wa Mnyika wanasubiri dakika ifike wabwage manyanga na kutema nyongo zao.

Siku chache zilizopita katibua wabunge wa Chadema bungeni baada ya kumpachika Esther Bulaya unadhimu kambi ya upinzani huku akiwaacha "makamanda" kama Heche,Silinde,nk ambao ni wakongwe.

Tusubiri muda ufike ila naona wakigawana mbao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Kigezo hicho Cha "Ukongwe" mbona Wewe usingekua Naibu Waziri.

Magufuli aliwaacha wakongwe wengi akakupachika wewe Muhamiaji Mjuaji, hilo nalo mbona halijakisambaratisha Chama Cha Mapinduzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ukweli nawashangaa Silinde kwa Nini hapewi nafasi kubwa.Yule Ni mwanasheria ukatibu mkuu ungemfaa au unadhimu bungeni .Yuko vizuri kweli.kweli kichwani

Mleta mada uko sahihi chadema bunge likivunjwa tu kinasambaratika.Wabunge na marieani wengi kwa Dada wanasubiri tu kuvunjwa waachane na chadema

Mimi binafsi hata CCM wakitaka kumchukua mtu chadema wa kwanza ningependa wamchukue Silinde
Ni lini CCM Mmeanza kuiwazia Mema CHADEMA?

Hamuoni Raha kama hao wasio makini wakipewa uongozi ili ninyi CCM Muendelee kutawala?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bi mdashi, hii kazi uliyopewa ya kupiga chabo cdm kila uchwao unaelekea kushinda na huenda ikawa task yako ya mwisho hapo lumumba! Yaani ukilala, ukiamka ni cdm tu huna lingine kichwani? Ukiwa mjenzi wa hoja Basi be critical and not bias! Mbona unaukatili ubongo wako pale unapokuongoza kuitafakari Safari ya ccm kuwa haipo salama? Unamuachia Nani aishauri ccm? Unajisahaulisha sana na kujiaminisha kuwa huko ccm ni salama na hakuhitaji msaada wowote!
Unajisahau sana kwa kuhangaikia chawa wa mwenzako huku mwako wamejazana Hadi kichwani! Wewe jikite kuishauri ccm yako na ya cdm waachie wenyewe hayakuhusu! Ingekuwa na busara ungeisaidia ccm kwa kuishauri iache wizi wa kura na uachane na usaidizi wa vyombo vya dola kupata ushindi usio wa haki! Punguza kupiga ramli na kuota mchana!
Endelea kukaza shingo kamanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom